Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

Kata ya pamba - nyamagana, inaonekana chadema wameshinda lakini hawataki kutoa matokeo. sasa watu wanaandama kushinikiza watangaze matokeo.

waliokaribu watusaidie kuzuia uchakachuaji. muhimu sana wakuu
 
...nec wanashangaza walesema watu 20 million walijiandikisha....lakini je ni kweli nusu ya watanzania wote wana miaka 18 kwenda juu....kwa turn out ilivyo ni wazi mahesabu ya NEC Kuna kitu yameficha ambacho CCM wanaweza wakakitumia kwenye majumuisho!!!
 
Counting result for president CCM Matokeo ya Rais

Sumve Sekondari A1:

CCM - 16
CHADEMA - 15
CUF - 1

Sumve Sekondari A2:

CCM - 16
CHADEMA - 19
CUF - 0

Sumve Hospital:

CCM - 42
CHADEMA - 49
CUF - 6
APPT - 1

Ukerewe Halmashauri

CCM - 74
CHADEMA - 97
CUF - 2
APPT - 2
TLP - 1
NCCR - 1
UPDP - 0

NYAMAGANA (Muhandu):

CCM - 72
CHADEMA - 66
CUF - 2
Kawe oysterbay
RAIS
CCM 67
CUF 6
CHADEMA 61
IIMBO-KAWE,KATA-MAKONGO.
URAIS,
TOTAL 198,
ZIMEHARIBIKA 7,KURA HALALI 191,CCM-47,CHADEMA 142,CUF 2.

Nashukuru saana kwa taarifa. ubunge vipi?
 
wana jf nimepata taarifa kutoka source za kuaminika huko shinyanga kuna maeneo ya majengo ya zamani kuwa wanaume wa maeneo hayo leo waliwawekea ngumu wake zao kwenda kupiga kura kwani kutokana na uzoefu wao wanawake wengi huwa wanaipigia ccm sasa leo wamepigwa stop hakuna kutoka, ni wanaume tu ndo wengi sana wao walikuwa kwenye mistari katika kuleta mabadiliko. Hali hii ilimfanya mwenyekiti wa mtaa ambaye ni mwanamke akisema wazi kuwa mwaka huu kwa shinyanga mjini kazi ni ngumu. Tusubiri matokeo

hapo inaonyesha chadema kama watashinda tutegemee utawala wa kidikteta!!! Maana kuwazuia wanawake wasipige kura ni kuwanyima haki yao ya kikatiba!!!!!
 
hapo kwenye red ninasmell kitu flan hiv, hilo gap under normal circumstance ni impossible. labda vijijini inaweza kutokea lakin siyo mjin.

Wakazi wa Oysterbay ni wanuifakaji wakubwa wa mtandao wa CCM. Hayo matokeo hayashangazi.
 
Ubunge Maswa Kata ya kulimi Shibuda anaongoza,Wadau mie nipo Maswa kwa mujibu wa wa2 waliokuwa wanasimamia uchaguz ni kwamba Jimbo la Maswa Magharibi ambapo mgombea ujumbe ni John Shibuda bado Shibuda anaongoza:Malampaka Shibuda yupo juu,Kata ya Kulimi vijij vya Ilamata na Mwabayanda Chadema wanaongoza kwa upande wa ubunge so mpaka sasa inaaminika Chadema wapo juu coz wa2 wamekuwa wakisherekea sana hapa mjini.
 
Ubunge Jimbo la sumve

Ngula
CUF 800+
CCM 20+

Malya
CUF 800+
CCM 30+

Sumve
CUF 700+
CCM 20+

Maligisu
CUF 600+
CCM 300+

Kadashi
CUF 500+
CCM 100+

bado kata chache kufungwa kwa mjadala; correction to precision will be made
 
Jamani wa JF muwe SERIOUS. Huwezi kutuambia anaongoza fullstop. Give details: Jimbo 1: Kituo A: CCM=XXX, CHADEMA=YYY, CUF=ZZZ, etc.
Tena tuwe na formati hii:
Rais mbunge diwani
CCM
Chadema
Cuf
etc
Hii itakuwa vema zaidi
 
Back
Top Bottom