Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

Hiki kiama jama....Tayari nimemtaarifu Mod juu ya Kufuru ya Karagwe Kagera ambako nasikia ni kilio na kusaga meno kwa CCM
 
Kweli mtu wangu,kwani hapa ni mzuka tuuuu,jamani hamwezi amini uku ni saaaakumi kamili usiku naendelea kusubilia matokeo
 
Habari za kuaminika zinasema Kata sita hadi sasa zaenda kwa CHADEMA katika wilaya ya Ilemela na nyingine mbili katika wilaya ya Nyamagana katika mkoa wa Mwanza.
 
Wakazi wa Oysterbay ni wanuifakaji wakubwa wa mtandao wa CCM. Hayo matokeo hayashangazi.

Sishangazwi na hawa wa Oysterbay kuibeba CCM, mshangao wangu upo kwa wa Buguruni na Manzese kwani nao pia wamewabeba, wana nini hawa watu?
 
hapo kwenye red ninasmell kitu flan hiv, hilo gap under normal circumstance ni impossible. labda vijijini inaweza kutokea lakin siyo mjin.

Mkuu usisahau kuwa Oysterbay ndo mafisadi wengi wa CCM wanakoishi, mimi sishangai sana.
 
Ubunge Jimbo la sumve

Ngula
CUF 800+
CCM 20+

Malya
CUF 800+
CCM 30+

Sumve
CUF 700+
CCM 20+

Maligisu
CUF 600+
CCM 300+

Kadashi
CUF 500+
CCM 100+

bado kata chache kufungwa kwa mjadala; correction to precision will be made

It is good for three big parties to have member of parliaments...
 
Sishangazwi na hawa wa Oysterbay kuibeba CCM, mshangao wangu upo kwa wa Buguruni na Manzese kwani nao pia wamewabeba, wana nini hawa watu?

Mkuu Buguruni na Manzese ni sehemu za uswahilini ambako kuna kampeni zilifanyikia misikitini.
 
Back
Top Bottom