matokeo nafasi zakupeana kishikaji, zimeibisha taifa,union tanganyika and Zambabwe

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
kwa kweli mbali na ajira ambazo zimekuwa zikitolewa kindugu, imefikia hatua nafasi nyet kama naibu waziri
wa elimu anapewa mtu ambaye kusoma speach kama mtoto wa form one shule ya kata. Hii ni aibu kwa taifa mbali na kudumaa kwa uchumi kutokana nafasi ambazo zinatakiwa kushikiliwa na watu wenye uwezo kupewa vihio kwa ajili ya undugu na urafika, imefikia hatua ya kutuvua nguo Watanzania mbele ya mataifa.
 
Jk anapenda mawaziri kama hao ili aonekane yeye yuko smart kuliko alowachagua.Kwake yeye anafurahi kwa sababu anamfunika mulugo
 
Back
Top Bottom