MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
baada ya matokeo ya mijini mingi kuonyesha cdm wanaongoza, sasa matokeo ya vijijini yameanza kutolewa huku ccm ikiifunika kwa mbali chadema! hii nafananisha na mchezo wa marathon ambako watu huanza taratibu na kuongeza kasi kadri mda unavyoenda....

ukisuppport habari zako na takwimu itakuwa vizuri zaidi
 
Tuwe makini watoa tarifa tusipotoshe umma ukweli ni kwamba mpaka sasa CCM inaongoza kwa mbali mno.CDM kushinda haiwezekani kwani hakuna kura za key board,I mean kura za wana JF hazihesabiwi,sherehe za kumpongeza Sumari zitafanyika A Town.
Ungelala kama mwenzio Rejao ungetupunguzia kichefuchefu
 
Looks like watu hapa tunategemea matokeo yanayotolewa na ITV na Star TV maana tangu taarifa za habari zianze utoaji wa matokeo hapa JF umesimama....

Wapi Tumaini Makene?......Naona muda mrefu tu kapotea ghafla

Movement for change
 
watu 127,455 walioandikishwa katika daftari la kudumu la wapigakura, wanatarajiwa kupiga kura katika vituo 327 ambavyo vimepangwa kwa ajili ya uchaguzi huo

tusubiri tuone hivyo ni vituo ambavyo vinafikika kwa urahisi bado vile vituo ambavyo ccm huwa inachukulia point
 
Tuwe makini watoa tarifa tusipotoshe umma ukweli ni kwamba mpaka sasa CCM inaongoza kwa mbali mno.CDM kushinda haiwezekani kwani hakuna kura za key board,I mean kura za wana JF hazihesabiwi,sherehe za kumpongeza Sumari zitafanyika A Town.

ungekuwa kati ningekubaliana na wewe ila wewe ni magamba damu, hance hapa ni UPUMBAVU TUU!
 
Chadema wamepigana vita vizuri,chaguo mbadala la baba wa taifa,kama angekuwa hai angeshaamia chadema

Watoto na Ndugu zake tupo nao pamoja, hata JK Nyerere angekuwepo basi CDM ingekuwa madarakani tangu 2005....
 
Tuwe makini watoa tarifa tusipotoshe umma ukweli ni kwamba mpaka sasa CCM inaongoza kwa mbali mno.CDM kushinda haiwezekani kwani hakuna kura za key board,I mean kura za wana JF hazihesabiwi,sherehe za kumpongeza Sumari zitafanyika A Town.

fine,,, mwisho wa siku matokeo yatatangazwa tu, naona porojo humu zimezidi sasa,, kila mtu anakuja na matokeo yake,,
 
Jaman watanzania wote tuiombe chadema mungu wetu anajuwa vile hk chama kitaleta matumain kwetu watanzania. Hallelujah

Mkuu uchaguzi siyo mchezo wa mpira, nina imani kuwa Chadema iliisha shinda kwenye sanduku la kura, ila sina imani kama itapewa official certificate kuwa imeshinda. Tume ya uchaguzi ikichezea matokeo haya basi itakuwa imejichimbia kaburi, na hata kura za maoni za Katiba mpya haitakuwa na legitimacy ya kuzisimamia.
 
ukisuppport habari zako na takwimu itakuwa vizuri zaidi

"Matokeo ya kata ya akheri.
Nkoanrua1 cdm 192 ccm 60
Nkoanrua 2 cdm 166 ccm 56
Ushirika akheri 1 cdm 70 ccm 115
Ushirika akheri 2 cdm 46 ccm 250
ushirika akheri 3 cdm 33 ccm 268
kimundo cdm 63 ccm 181
kimundo 2 cdm 61 ccm 150
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom