MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Kaka hata siku moja huwezi kuibadilisha nyekundu kuwa njano fuatilia kwa makini!
 

hakuna vituo vingine mbona tangu saa 12 hadi sasa mnarudia tu hivi,,,
 
Mnanifurahisha sana, ukiona 116 28 wale learned brothers wanasema take judicial notice, yaani haitaki ushahidi wala maandishi mengi inajulikana 116 ni CHADEMA na 28 ni ya mpinzani CCM
 

akheri sio vijijini,pole sana!
 
I see....


Halafu ukiambiwa wewe ni mnafiki na mpotoshaji mkubwa unakata....

Btw....Usisahau pia kwamba sometimes 'The Means Jusitifies the Ends'
 
hapa tusubirini matokeo ya kata. sitaki kuamini moja kwa moja ushindi wa vituo. Hakuna kitu kinachouma kama kuona unashinda hivi halafu mwishowe unaambiwa umeshindwa eti kisa mtaji ulikuwa maporini
 

Pasco kumbe unaamini kuwa CCM hushinda kwa mbinu chafu. Bora yako sio kama Rejeo ambaye kila CCM ikitangazwa mshindi yeye anadhani ni box la kula limeamua. Unatambua kuwa kwenye siasa ushindi wa kulazimisha mara zote sio endelevu?
 

Mbona wakati kata ziko 75 ..CDM walikuwa wana kura alfu tisa na ...vituo vimeongezeka kura zimepungua..ndio maruhani yenyewe au....?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…