Matokeo Kidato IV: Utata mtupu!

umemaliza kila kitu mdau
 
Bado sijui hii aibu tutaifuta vipi na Mungu ni wa ajabu kila siku wanazidi kuumbuana wenyewe hadi raha sometimes japo inakera.
 
Bongo kila kitu ni siasa tuu hakuna hata aibu!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
samahani mkuu.umemaliza kidato cha nne mwaka gani? Viwango vya juu! Umetumia vigezo gani? Umewahi hata kuona moja ya mtihani wa necta mwaka jana? uspumbuzike na hoja za wanasiasa. Heri yao ambao hawajashikiwa akili zao na wanasiasa uchwara!

hapo kwenye rangi naona unatafuta cheche kwa moderator.
 
Tatizo la nchi hii ni kuingiza siasa hata kwenye mambo yasiyo husiana na siasa
 

Mkuu hapa bongo Prof. akiamua kujiingiza kwenye siasa inabidi awe tayari kuuvua Uprof. wake!
 
Ndo nasioma hii habar nna mwananchi mezan hapa,full aibu hawa jamaa
 
Baadhi wa wasomi wa kibongo (kama hawa akina Prof. Mukandala), hawaitendei haki kabisa nnchi hii!
 
Made in Tanzania.
 

kawambwa team chura anapenda maji lakini cyo ya moto
 
Jamani mataTizo yote Haya ya kiutendaji ya waliopewa madaraka waliowengi ni MAtokeo ya elimu yetu ya tz. Curriculum ndiyo inataka mtu awe hivyo,muongo, fisadi ,aajiriwe, atoe&apokee rushwa ili afaidi yeye tu. Ubinafsi mbele.
 
Serikali ya awamu hii ni ya kihuni.!!!
 
Kama ndivyo ilivyotokea bado naendelea kushikiria msimamo wangu kwamba kuna ulazima viwango vya zamani vitumike......it's wasn't fair at all! Mitihani imefanyika somewhere around October - November huku wahusika wakuu (wanafunzi wakiwa wanafahamu wazi kwamba grading ipo hivi!! Mitihani wameshafanya, wametulia nyumbani wanasubiria matokeo; huku nyuma wapuuzi wachache wanakaa na kuweka viwango vipya....NO, UNACCEPTABLE! Narudia, wengi wetu tunatamani kila wakati tupate sababu ya kuilaumu serikali; hapa wasilaumiwe kwa kurudisha viwango vipya bali walaumiwe kwa kutumia viwango vipya kinyemela (bila wahusika waathirika wakuu) kufahamu! Tuache ubinfasi wa kujiona tumeshavuka mto! Hapa JF nafahamu kuna wanafunzi wengi wa vyuo vikuu! Assume, tangu unaingia First Year unafahamu (say) C inaanzii 50-64; na umefanya paper unafahamu hivyo ndivyo viwango! Hatimae unarudishiwa paper yako, unakuta umepata 52; unapumua kidogo coz' unafahamu umepata C. Matokeo yanawekwa notice board, unakuta somo husika umewekewa D; unakuja kuhoji unaambiwa mara baada ya mitihani kwisha; board ilikaa na kuweka viwango vipya ambavyo C inaanzia 55-69! Let's be honest here...hivi kweli huko vyuoni kungekalika?! Yaani from nowhere, muambiwe viwango vibadilishwa tena kimya kimya! HAPANA, HILI HALIKUBALIKI! Hao wote waliokaa na kupitisha maamuzi sio waathirika wa moja kwa moja, waathirika wa moja kwa moja ni wanafunzi waliohusika na wazazi/walezi wao!

cc JokaKuu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu uko sahihi kabisa. Mimi binafsi siamini kwamba wanafunzi hawa wengi eti wamefeli kwa sababu alama zilibadilishwa. Kwa nini sasa hawakupata alama za juu ili wafaulu? Sababu za kufeli ziko wazi lakini kwa kuogopa aibu na kuonekana wameshindwa kufanya kazi zao ndo wameamua kujishikiza kwenye hilo la alama. Aibu tupu!
 
Wazimu wa namna yeyote ile unawezekana Tanzania na watu walio wengi watauvumilia kazi kwelikweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…