Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Wazee ahsante kwa ushauri,
Ni hivi wazazi wake hawana uwezo asome nje ya Tz na pia ana wadogo zake nao wanasoma!
Yeye anasema somo alililiopenda zaidi ni Economics na pia alipata A. Je vipi mnashaurije akisoma Pure Ecomomics course BA (Econ.) say Mlimani? Then akaja kuwa Economist!
Au vipi akisoma BCOM ambapo pia ili awe na uwanja mpana zaidi ya Economics? Y
Je asome Laws?
Family background wazazi ni watu wa kipato kidogo: na anategemewa aje kuwasidia wadogo zake ili kuwapunguzia mzigo wazazi wake..na ndo maana alishauriwa achukue masomo ya Arts ili pengine apate kazi mapema ili aweze kuwasaidia wazazi na wadogo zake!
Tunaomba mawazo!
Du ukiyaangalia haya matokea kwa makini utaona ni matokeo ya shule zaid kuliko watoto binafsi. Utaona shule either imefaulisha wanafunzi au imefelisha. Nawaonea huruma watoto waliofelishwa na shule.
Achaga uongo wewe, huyo wa pili ni telecom engineer yupo Mtwara... Wabongo mnapenda kutanguliza wenzenu akhera aiseeeWapili na watatu kati ya hawa MaTOs ni RIP
Mkuu unamainisha huyo wa pili Raymond Aidan au wa pili upande wa wanawake?Mkuu una uhakika na unachokisema au umetumia mbinu mbadala ili nikupe info?
Huyu ndio Raymond Aidan ,usibishe vitu usivyovijua View attachment 652797
If so then muoneshe huyo classmate wa Raymond hiyo picha niliyoweka then muulize ni nani huyo, naomba mrejesho ukipata jibuMkuu nipo na classmate wa Raymond Kibaha hapa anaitwa Silvester Manumbu,so unapoandika vitu uwe una uhakika
Sawa mkuu umefanya hayo yote, then nisaidie homework ndogo tu, muoneshe hiyo picha then muulize huyo jamaa kasoma Kibaha mwaka wao PCM je ni nani huyo? Kisha naomba jibu la jina halisi la huyo mtu mkuuMpaka nikaja kureply kwako nimefanya yote hayo boss
Sawa me nimuuliza kama anamjua huyu mtu au alishawahi kumuona KIBAHA (2006-2009) maana kipindi hicho ndio alikuwa Kibaha.Sawa mkuu umefanya hayo yote, then nisaidie homework ndogo tu, muoneshe hiyo picha then muulize huyo jamaa kasoma Kibaha mwaka wao PCM je ni nani huyo? Kisha naomba jibu la jina halisi la huyo mtu mkuu
Ngoja kwanza 2006 to 2009 hao si ni O'level mkuu? Hao wa advanced level ilikua 2007 to 2009 so kama huyo mtu wako kasoma Kibaha PCM 2007-2009 muulize hiyo sura anaijua kwa jina gani?Sawa me nimuuliza kama anamjua huyu mtu au alishawahi kumuona KIBAHA (2006-2009) maana kipindi hicho ndio alikuwa Kibaha.
Nilikosea kaka ni 2007 -2009Ngoja kwanza 2006 to 2009 hao si ni O'level mkuu? Hao wa advanced level ilikua 2007 to 2009 so kama huyo mtu wako kasoma Kibaha PCM 2007-2009 muulize hiyo sura anaijua kwa jina gani?
Sawa Sawa mkuu, nitafurahi ukiniletea mrejesho kuhusu jina la mlengwa hapo juuNilikosea kaka ni 2007 -2009
Mkuu usijali tupo pamoja,nakuletea soon tu! Siunajua usiku usiku huuSawa Sawa mkuu, nitafurahi ukiniletea mrejesho kuhusu jina la mlengwa hapo juu
Mkuu Classmate wake kasema picha uliyoweka wewe ndiye Raymond Aidan,nakupongeza mkuu ulitumia lugha ya upole kunielewesha mpaka nikarudi tena kukupa salute yako!Sawa Sawa mkuu, nitafurahi ukiniletea mrejesho kuhusu jina la mlengwa hapo juu
Akhsante sana mkuu nilikua mpole tu ila tangu awali najua kuwa picha uliokuwa umetuma ni ya kaka yake mkubwa na Raymond ambaye amefariki mwaka jana, na huyo jamaa alisoma IFM...Mkuu Classmate wake kasema picha uliyoweka wewe ndiye Raymond Aidan,nakupongeza mkuu ulitumia lugha ya upole kunielewesha mpaka nikarudi tena kukupa salute yako!
Mpe hi T.O
Akhsante sana mkuu nilikua mpole tu ila tangu awali najua kuwa picha uliokuwa umetuma ni ya kaka yake mkubwa na Raymond ambaye amefariki mwaka jana, na huyo jamaa alisoma IFM...
Akhsante mkuu na jumapili njema
Mkuu hii font gani?Ten best schools with less than 25 candidates
St James Seminary Kilimanjaro
Kisimiri - Arusha
Masama Girls - Kilimanjaro
Katoke Seminary - Kagera
St Joseph-Kilocha Seminary Iringa
USA Seminary Arusha
St Peters Seminary Morogoro
St Francis Desales Seminary Morogoro
Arusha Catholic Seminary Arusha
Dungunyi Seminary Singida
Ten best schools with more than 25 candidates
Kibosho Girls Kilimanjaro
Mariab Girls Coast
Kibaha - Coast
Mzumbe - Morogoro
Ilboru - Arusha
Malangali -Iringa
Maua Seminary Kilimanjaro
Uru Seminary Kilimanjaro
St Mary Goreti Kilimanjaro
Boniconsili Mabamba Girls - Kigoma