Rugambwa31
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 226
- 73
Hivi kweli inakuja akilini kwamba matokeo ndo yenyewe? Hapo nazidi kuzidi kuamini kwamba kunakitu kimetokea huko. Kwanza inakuaje matokeo yanatangazwa na waziri wakati tumezoea Dr. Ndalichako ndoutangazaga? Kama huyo mama haligoma kutangaza kwann asijiuzulu hili tumuenzi kwani elimu yake inamwezesha kufanya kazi sehemu yeyote dunia.
Hivi mbona viongozi watz baadhi yao hawana uchungu na wanachi wa nchi hii? Tatizo kubwa hapa tz ni ubinafsi sana umetawala leo hii zunguka shule za kata, shule za msingi za wananchi angalia kama kuna watoto waviongozi kama wapo? Watoto wenu wote wapo Saint school kweli mtapata uchungu wakukaa chini bila madawati, hakuna vitabu au kutokuwa na walimu wa masomo miaka mi4 kweli?
Mungu ibariki Tanzania.