Ohh No......haya sasa mambo hadharani
Unajua ukiwa na ujuzi na kitu huna haja ya kubishana na mjinga walimu walisha tangaza kugoma wakalazimishwa kurudi kazini bila kupewa haki zao sasa haya ndiyo matokeo yake na bado ya madaktari omba mungu usiwe wewe ama ndungu au jirani....Mungu ibariki Tanzaniaaisee serikali imetoa tamko lolote kuhusu huku kefeli ambako ni kubaya kuliko mwaka jana? Na bado serikali hii inatakiwa ifundishwe namna ya kuwatumikia wananchi
aaaaaaaaah huoni watu tukipigwa ban tunakuwa wadogo kama piliton....hahahahaahahDuh! kweli JF ni mwisho wa mambo yote, yaani matokeo unayapata kabla ya wizara kutangaza.
Shule gani kamandaaisee watoto wamefeli mbaya