Matokeo kidato cha nne 2009

Naona sasa requests zimeisha... maanake sasa yanafunguka vema kwenye tovuti za wizara husika.

Endelea kuperuzi wakuu
 
Kama unayo Vodacom, unaweza kupata matokeo ya mwanao ikiwa unajua centre numba na examination namba yake. NI kwa wale wenye VODA tu!

Andika sms kama ifuatavyo kwenye mfano huo chini:

matokeoXsnnnXnnnn

usiache nafasi wala usiweke nukta.Tuma 15311 unapata majibu within that minute. Majibu yanakuja na jina la mwanafunzi huyo, Division aliyopata, points na alivyopata katika kila somo.

Mfano:

matokeoXs0128X0007

send to 15311.

Wakakata shilingi 400/= kwa kila sms ya aina hiyo, makosa pia yanakatwa 400/=

Leka
 
Back
Top Bottom