LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
hii siyo tetesi bali ni habari ya kweli kabisa,na kwamba mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya wilaya monduli kwa uchunguzi zaidi,lakini taarifa za awali zinasema kuwa marehemu huyo alijaribu kunywa sumu lakini mauti hayakumkuta,mpaka alipo amua kujinyonga usiku wa kuamkia jana na ndipo mauti yalivyo mkuta.
ama kweli huyu kijana amefanya maamuzi mabaya kabisa! Yeye angetakiwa apige moyo konde na tungeshikamana tuing'owe ccm madarakani.
Apumzike kwa Amani yake Bwana!