Kwa taarifa nilizozipata kwa jamaa alieko monduli Arusha kwamba mwanafumzi wa kike aliemaliza shule moja hapo minduli na kufeli kidato cha 4 ajinyonga na kufariki kisa matokeo mabaya ya mwaka huu.
Huyu nadhani atakuwa wa 3 au wa 4 sasa kujiua kutokana na matokeo mabaya,mmh nini hatima yake?
Naiomba na jamii na wananchi tuache kuwakejeli au kuwasemasema vijana waliofeli,kufeli sio kufeli maisha.
Poleni wafiwa.