jafarikyaka
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 378
- 269
ukila chakula kwa mkono wako mwenyewe na ukila chakula kwa kulishwa vyote vyaenda tumboni na wote mnaitwa mmeshiba ..CCM namba wanuNi kama mchaga akikosa cha kuiba anachukua kitu chake anakificha halafu anakinyatia anakikwapua anakimbia nacho
Sent using Jamii Forums mobile app