Ndo maana mim siku hiz nimeacha kutilia maanani mambo ya dini kwa udhalimu waliofanyiwa wazanzibar. Sasa leo utakuta kwenye kuapisha huyo Shein utakuta viongozi wa dini nao wameenda na kumuombea pamoja na kumpongeza wakati wanajua kabisa kilichofanyika ni wizi na ubakaji wa Demokrasia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.