...Matoke..

sweetlady tumuache asije akapata elimu akaelevuka zaidi
 
Last edited by a moderator:
Na kweli, anaeza elimika nae akifika huko akaanza kuchomeka mikuki lol

Ndo hapo sasa na akaenda kuuchomeka kwa mwenyekiti wa mtaa akaambulia kichapo au kwa kiongozi wa ukoo
Tumuache sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Yaani kupika hamjui, mnaingia jikoni na kuanza kugeuza kijiwe cha kupiga stori! @xpaster, njoo kiwanja chetu kimevamiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…