Kwa hiyo Ruta weye wapendelea cleavage inayochungulia kwa kiasi au sana? maana saa zingine unaeza katiza mtaani unakutana na shosti kanyanyua maziwa karibia yafike kidevu :biggrin:
sasa ona huyu the dress is lovely ila hapo kifuani...ni kaficha ile sehemu ya maziwa yenyewe kikitokea cha kutokea na kuanza kutimua mbio lazima maziwa yachomoke kwenye nguo...tuna kazi kwelikweli