Matiti ni Mali ya nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matiti ni Mali ya nani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Felixonfellix, Jul 14, 2012.

 1. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Matiti ni chakula cha mtoto!Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila mmoja ana mtazamo wake tofauti, hebu angalia maoni ya wanawake hawa wa Nigeria wanavyojibu swali la nani ni mmiliki halali wa matiti ya mwanamke.

  Mrs. Arogundade: Mume wangu ndiye anamiliki matiti yangu kwa sababu mume alikuja kabla ya mtoto. Baada ya mtoto kunyonya kwa muda inakuwa zamu ya mume wangu kwani tunalala kitanda kimoja. Mtoto wangu ana access ya matiti yangu kwa muda tu wakati mume wangu ni mali yake maisha yetu yote.Matiti yangu ni kitu ambacho mume wangu huchezea na pia ni mto wake wa kulalia. Ukweli ni kwamba mume wangu hujisikia wivu kama mtoto wangu ataendelea kunyonya zaid ya muda aliopewa.Linapokuja suala la matiti yangu mume wangu huwa anachanganyikiwa, hawezi kufanya ile kitu (sex) bila matiti yangu.

  Mrs. Omisade: Mume wangu ni mmiliki ya matiti yangu.Mume wangu akiyakamata tu matiti yangu basi huwa tunakuwa na mahaba ya nguvu katika uso wa duniaMume wangu hawezi kuanza chochote bila kugusa matiti na pia hunisisimua sana kwa ajili ya kufanya mapenzi pia mume wangu hunambia huwa anamuazima mtoto wetu matiti na akimaliza anatakiwa kurudishiwa mali zake kutoka kwa mtoto.

  Mrs. Alhaja Sadiku: Kitu kimoja ninachopenda kuhusu mume wangu ni pale anapochezea matiti yangu kama vile machungwa, pia huwa namruhusu mtoto wangu kuchezea matiti kwa kadri anavyoweza.Najua mume wangu alilipa mahari kitu inachompa access ya mwili wangu wote.Matiti ni kwa ajili ya chakula cha mtoto wangu.

  Mrs. Olagbaju: Ukweli mume wangu ndiye anamiliki matiti yangu.Ila lazima akubaliane nami kwamba wakati tunayonyesha mtoto lazima aache kwa ajili ya mtoto wetu.Wakati ninaponyonyesha naweza kumruhusu mume wangu kuyachezea kwa mikono na si kunyonya.Mume wangu anamiliki matiti yangu permanently na pia anamiliki kila kitu nilichonacho pamoja na matiti.

  Mrs. Agunbiade: Mtoto wangu ndiye anamiliki matiti yangu.Mume wangu ana mtazamo tofauti kwani huwa hapendi kabisa kuyanyonya, wakati nanyonyesha hapende kabisa hata kula chakula changu yeye hapendi kabisa harufu ya maziwa kutoka kwenye matiti yangu.

  Mrs. Amadi: Mume wangu hawezi kufanya bila matiti, kabla kitu chochote kutokea yaani kufanya mapenzi lazima achezee matiti yangu na bila matiti siwezi kusisimka.Mume wangu husahau huzuni zote akianza kunyonya matit yangu.

  Mrs. Ganiu: Mume wangu ndiye anayemiliki matiti yangu, mtoto wangu hunyonya kwa muda tu, then automatically matiti hurudi kwa mume wangu.

  Mrs. Daniel: Mume wangu anamiliki matiti yangu kwa sababu alinioa kihalali.Tunapotaka kuwa kwenye huduma ya pamoja ya usiku kila mara ni utukufu, huanza kwa mume wangu kunichezea matiti yangu na kuyakandakanda halafu tendo huanza.

  Mrs. Omole: Mume wangu aliniambia kwamba nilipokutana naye kwa mara ya kwanza matiti ndiyo kitu kilimvutia sana yeye, hivyo ni mali yake, najua matiti yangu ni sehemu ambayo mume wangu ni dhaifu, siwezi kumnyima mali zake, hata kama mtoto wangu anayanyonya, mume wangu bado huyanyonya na kuyachezea.

  Mrs. Ojo: Kabla ya mtoto kuzaliwa matiti yangu yalikuwa ni toy la mume wangu kuchezea.Baada ya mtoto matiti ni kwa ajili ya mtoto, mume wangu anaishia kuchezea tu si kuyanyonya.

  Mrs. Alao: Mume wangu anamiliki matiti yangu kwa sababu tulikuwa pamoja kabla ya mtoto kuzaliwa.Moto anaweza kuazima matiti kwa muda tu, mume wangu anamiliki matiti yangu permanently na mtoto huwa yake kwa muda.

  Mrs Salome: Mume wangu ni owner wa matiti yangu.Hawezi kufanya mapenzi bila matiti yangu.Mume wangu huniambia matiti yangu ni chakaazi (succulent ).Matiti yangu humpeleka mbali sana mume wangu na husisimka hadi kufika juu sana hata kabla hatujaanza kitu chenyewe.Mtoto wangu ipo siku atayacha na kwenda kuanza nyumba yake hivyo lazima nimridhishe mume wangu kwa matiti yangu.Mungu alinipa matiti ili kumridhisha mume wangu katia suala la tendo la ndoa.Siwezi kunyonyesha mtoto miezi 7 bila kuyarudisha kwa mmiliki wake ambaye ni mume wangu mpenzi.

  Je, wewe kama ni mwanamke matiti yako ni mali ya nani? Mtoto au mume wako?Source: Modupe Okanlawon & Omowunmi OwoyomiDaily Sun News, Sunday, June 8 , 2008
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  weka aya basi
   
 3. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  matiti ni mali yangu.., co mali ya mtoto wala mume.
   
 4. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,674
  Trophy Points: 280
  Ni mali ya mwenye matiti ila mnawesha share.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  matiti ni mali ya mwenye matiti, sio mali ya mtoto wala si mali ya mume....
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Matiti ni mali ya mme mana kisha yalipia mahari...Akiyanyonya sawa, akiyashika shika sawa akiyauma uma sawa akiyabinya binya swa.
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Nadhani Kongosho atakuwa na mchang mzuri kwenye huu mjadala.
   
 8. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea...kabla mwanamke hajaolewa inakuwa ni mali yake...lakn akishaolewa inakuwa mali yao wote yeye na mumewe ,na sio matiti tu kila kitu alichonacho. Mtoto anapewa msaada tu wa hoteli
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  matiti ni mali ya serikali.
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Ni mali ya MEWATA!
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  matiti mali ya familia.
   
 12. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  matiti ni mali ya mwanamke kwa matumizi ya mume na watoto...
   
 13. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  i need to stop visiting MMU on weekend nights. :D
   
 14. D

  Doreen22 JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa, usikubali mtu aucontrol mwili wako or kukulazimisha uubadilishe ili uwe kama anavyopenda yeye, mbona yeye humlazimishi ajibadilishe awe kama unavyopenda wewe, nawashangaa kweli hao Wanaigeria, eti matiti ni mali ya Mume wangu, wapuuzi kweli, hata nikupende vipi hutautawala mwili wangu, hutautumia utakavyo wewe, au kutaka niubadilishe utakavyo wewe na mwili wa binadamu hasa ni God's temple, kuna hata wimbo wa Dini sikumbuki jina la muimbaji but ni from USA unasema My Body is God's Temple, but wengi wetu tunaitumia miili yetu kwa kuendeshwa na shetani
   
 15. N

  Neylu JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Matiti na vyote nilivyonavvyo ni mali ya Mungu..
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol
   
 17. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mie yangu ni mali yangu ila kwa kuwa yakishikwa yananipa raha,nadhani tuko 50 -50 ownership na mume,lol sitanyonyesha so mtoto hana chake....:A S cry:
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah,,,umenena mdau,,,hope hayo yote huwa wayafanya
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  unaweza ukaandika hapa the way u wish,ila wakat mwanaume anautumia mwili wako unaweza usijue kama anautumia,ndo tulivyo wanaume
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  je hayanyonywiiiiii???na kutomaswa tomaswa????na kuminywaminywaaaaaaa.......
   
Loading...