Matiti kutoa maziwa..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matiti kutoa maziwa.....

Discussion in 'JF Doctor' started by H N, Nov 18, 2011.

 1. H

  H N Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF,

  Mimi ni mwanamke 26yrs nina kama miezi miwili tangu nigundue tatizo la matiti yangu kutoa maziwa.Mwanzo nilihisi nitakuwa nina mimba ila nimejaribu kucheki hakuna na mzunguko wangu wa hedhi upo kawaida kabisa!

  Ninaomba msada wenu nina tatizo gani au ni kawaida?huwa yanatoka nikiyabinya.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  kumbe unajitomasa mwenyewe hapo ni sawa na wanaume kupga nyeto.mtafute shemej fasta aje kukusahdia utajickia mwepec kama nyoya
   
 3. H

  H N Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenifikiria vibaya huwa nafanya hivyo ili kujua km bado yanatoka au la...ila huwa sina maana nyingine BB
   
 4. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mtoto wako wa mwisho ana umri gani?
   
 5. H

  H N Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisahau kuweka sijawahi kuzaa....
   
 6. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  nenda kamwone daktari kwanza halafu ushauri wa kwenye keyboard na post via mobile utafuata baadae..
   
 7. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Itakua hauja do muda mrefu aisee
   
 8. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Daah! Pole sana. Tafta daktari bigwa wa akina mama.
   
 9. H

  H N Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilienda kumwona dr akaniambia inawezekana nikawa na mimba nikapima ikaonekana sina akaniambia itaisha taratibu ndo maana najichek ila bado yanatoka....
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ebu weka picha ya matiti hapa ili tukushauri vizuri.
   
 11. H

  H N Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana itabid nikamwone dr wa akina mama sababu nadhani niliyemwona hakuwa sahihi....
   
 12. H

  H N Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh hiyo ngumu kumesa mkuu
   
 13. H

  H N Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nayo ni sababu au unatania?
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi kitaaluma ni daktari. Ningeona hilo titi ningeshauri vizuri zaidi. Ungepiga picha ya titi peke yake.
   
 15. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni mabadiliko ya kawaida. Sisi sote tunapitia hayo. Usihofu. Its a normal thing and healthy.
   
 16. H

  H N Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nielekeze hospitali yako ilipo nije ulione live....
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mwambie akaiweke kule mk hamna noma kule..
   
 18. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nirudi safari nitakuPM.
   
 19. H

  H N Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru mshiiri coz nimejawa hofu sana...
   
 20. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  basi usijali kama ushamwona daktari ambae wewe unamwini..
   
Loading...