Titi linahusiana vipi na tendo la ngono mkuu....?
Maungo ya siri ambayo ni maungo ya uzazi huitaji kupewa sitiri stahiki, lakini kiungo kama titi kwa mwanamke si kiungo cha siri ndio maana mtoto mdogo anyonyaye hulichezea titi kama wewe uchezeavyo kijiko cha kulia chakula n.k
Titi halijawahi kuwa kiungo cha siri mkuu