Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
huo uvivu wakupitilizaaaaaaaaa
Mkuu kwa swali lako hapo juu, tuseme nini juu ya wale watakao amua kufanya ngono hadharani kupitia viungo halali?
Kama mwanamke atakua na nguo ya kujifunika ni vyema akafanya hivyo...au vizuri mwanamka akatembea na kanga nyepesi akaweka kwenye mkoba wake, mtoto akitaka kunyonya ajifunike....hii ni kwa wale ambao hawana tabia ya kufaa kanga au baubui....Pasina budi kwa dharura wanaweza kunyonyesha waziwazi....lakini hii ni kudhalilishwa wanaume pia...kwa sababu mnatufanya tuanze kutamani kusiko kwa lazima.....mambo kama haya ndo chanzo cha kupotea nguvu za kiume...
Kuna option ya kukamua kwa mashine na kuyaweka kwa chupa. Hapa mtoto atapewa bill yake popote pale bila kutoa mtindi wa mama nje.
watoto wengine huondoa ukufunika...inshort wanaona km kanga au kitambaa kinawaghasi
mtoto anapewa maziwa yaliyokamuliwa pale inapobidi, sio kuifanya lifestyle ya mtoto.
Kukamua kunaweka mtoto kwenye risk ya magonjwa-contimination yaweza kutpkea.
Maziwa yanayotoka kwa mama yanakuwa na joto linalotakiwa kwa mtoto. Kukamua hufanya maziwa yapoe, na kama ni sehemu huwezi yapasha joto, inakula kwa mtoto.
kukamua kunamnyima fursa mtoto ya kujenga mahusiano na mama yake, ambayo hufanyika wakati wa kunyonya.
Elimu unayotoa Ina manufaa sana. Hopeful wanawake wamekuelewa na hata sisi wababa tutafikisha ujumbe kwa wake zetu.
wee MbN, acha fujo, umekuwa baba lini?
Kongosho ni sahihi ukishakamua maziwa ya mtoto kuweka maziwa kwenye fridge? (Maziwa ya mama).
Nadhani inafaa, ila isiwe baridi sana na yasigande na wakati wa kuyapasha, chemsha maji safi ya moto, tumbukiza chupa yenye maziwa ili yapate joto linalofaa.
Wengine wanatumia.microwave, ila.inabidi uangalie aina ya chupa zinazotumika.
Hapana chezea uchungu wa mwana, Yani mwanangu alie njaa niogope kumpa ziwa kisa watu wataliona?
Potelea kule......mtoto ale kwanza, nitamnyonyesha hata barabarani.
Tatizo mabazazi wakiona wanaona dogo anafaidi na wanatamani wangekuwa wao....lol.
Ahsante Kongosho et al naona hii topic imepata contribution. Nawashukuru wote mnaoendelea kuchangia. Nina support sana mtoto kunyonya maziwa ya mama ila wakati fulani nilijikuta kwenye arguments na wife kuhusu kutoa ziwa hadharani ingawa naye alikuwa style ya Kongosho.Hata hivyo that is history hanyonyeshi tena.
siyo sawa, niliuliza hivo kulingana na definition aliyo itoa.kunyonyesha mtoto ni sawa na kungonoka?
wonders shall never end