wana jf hasa akina dada naomba nijuzwe kwanini baada ya kujifungua mnaacha matiti hadharani wakati wa kunyonyesha. Ni vigumu kuona titi la mtu huyo huyo kabla ya kujifungua. Hata mnapokwenda kuongelea sehemu kiungo hiki husitiliwa.Huwa aibu inakwenda wapi baada ya kijifungua?
hakuna dabo standadi,unajidabosha mwenyewe tu.
Sasa unataka mwanamke atoe.nyonyo hadharani wakati hanyonyeshi?
Au unataka mama anayenyonyesha afiche nyonyo lake wakati mwanae ana njaa?
Labda niulize, kazi kuu ya nyonyo ni ipi?
sikatai mtoto apewe nyonyo lakini angalau lifichwe kwa kitambaaa au mtandio sio kuliacha tu
Issue hapa ni double standard kwa maana wakati fulani ni kitu kisichotakiwa kuonekana hadharani na wakati mwingine sawa kuonekana.
Huwezi kukiona kwa kuwa wakati wa matumizi yake haujawadia na wala sio double standard kama udhaniavyo...
Labda nikuulize swali, kazi ya titi ni nini?
Kazi ya titi ni kunyonyesha ila hoja yangu ni ile sensitivity ya akina dada kuficha titi kama hawanyonyeshi lakini wakati wa kunyonyesha watu hao hao hawaoni kama ni kitu cha staa. Kuna vingine kama haja inahitaji faragha na ni hii ambayo ina single standard. Hivyo na titi ni aidha kiwe kitu cha siri au kitu ambacho batupaswi kukipa msistizo wa kukificha.Lakini hapa suala ni mazoea zaidi ila titi linabakia kuwa sehemu ya siri. Mfano ukireje mavazi ya akina dada. utakuta akina dada hao hawakuweza kuvaa nguo hizo siku za nyuma lakini kwa mazoea sasa hivi wanaona wako sawa.
kiungo cha siri ni relative term sana, kuna baadhi ya nchi za kiarabu nywele za mwanamke ni siri. Wengine wameenda mbali hadi uso ni siri, wanaacha macho tu.
mmmh, kama hujazaa ndio hivyo kila kitu siri. Hata ukipelekwa wodi ya kujifungua, unaifichaje K as if utazalia kwapani.
Uchungu ukianza kolea tu, unajikuta huna nguo.hata moja na k unaitembeza wodini kama leso.
Hata titi vile vile,.siku ya kwanza unakinbilia.kunyomyeshea chumbani, baada ya mwezi unalitembeza kama leso.
Kwanza huwa halivutii, mishipa ya damu inakuwa imelisimama kama mizizi.ya mhogo.
Jamani hata kulifunika na kitambaa ambacho ni safi inakatazwa hapa tunazungumzia mama awapo hadharaniKiafya haishauriwi...mtoto anapaswa kunyonyeshwa na titi lililo wazi ambalo limesafishwa uzuri na maji vuguvugu kuua vijidudu...
Huwezi kukiona kwa kuwa wakati wa matumizi yake haujawadia na wala sio double standard kama udhaniavyo...
Labda nikuulize swali, kazi ya titi ni nini?
Wewe nyonyesha hadharani waswahili wakupige zongo.
kumbe n kweli kuhusu zongo;;???
Kama mwanamke atakua na nguo ya kujifunika ni vyema akafanya hivyo...au vizuri mwanamka akatembea na kanga nyepesi akaweka kwenye mkoba wake, mtoto akitaka kunyonya ajifunike....hii ni kwa wale ambao hawana tabia ya kufaa kanga au baubui....Pasina budi kwa dharura wanaweza kunyonyesha waziwazi....lakini hii ni kudhalilishwa wanaume pia...kwa sababu mnatufanya tuanze kutamani kusiko kwa lazima.....mambo kama haya ndo chanzo cha kupotea nguvu za kiume...
Kuna option ya kukamua kwa mashine na kuyaweka kwa chupa. Hapa mtoto atapewa bill yake popote pale bila kutoa mtindi wa mama nje.