Matirio ya kutengenezea sabuni za maji

Matirio ya kutengenezea sabuni za maji

HANDO

Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
51
Reaction score
4
mini najifunza ujasiria mali nataka matirio ya kutengenezea sabuni za maji lakini sijui wapi ntapata matirio ya kutengenezea, nielekezeni wapi ntapata kwa bei nafuu.

nimeambiwa yanapatikana DAR au Nairobi lakini sijui wapi ntapata nsaidien wandugu.

nipigie sim 0714 592827 au 0763 815 111

email; nkivaria@gmail.com

kijana mwenzenu

NK

(Arusha)
 
Dah! haya "MATIRIO" matirio gani mkuu unaulizia. na ujasilimali huo umepanga vipi. au ndo sabuni za kutengenezea uani ??
 
Back
Top Bottom