kistwangara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 656
- 94
Taarifa kwa wanajf,
MATIKO MATARE aliyewahi kuongoza maandamano makubwa chuo kikuu cha dar (UDSM) miaka ya 1990 na kusumbua serikali ya rais Mwinyi pamoja na jaji Warioba, ni mzima wa afya na yupo mkoa wa Ruvuma,tena ni katibu wa kanda ya kusini wa CHADEMA kupitia uchaguzi uliofanyika tar. 17 july 2013 siku ya uzinduzi wa kanda chini ya m/kiti wa CHADEMA taifa MH. Mbowe.
Hivyo kwa wale wanaojua kuwa alifariki si kweli.