Nilifikiri wazee wa kung'oa meno washamtanguliza mbele ya haki....
Mimi nikiwahi kusikia fununu kuwa jamaa huyu sasa ni RIP, kumbe bado yu hai! Mungu ampe uzima.
Nilifikiri wazee wa kung'oa meno washamtanguliza mbele ya haki....
0757282151 ndiyo namba yake.Huyu Bwana tulikuwa naye katika mapambano UDSM kilipofungwa tar 12 Mei 1990 na kufunguliwa tar 1 Januari 1991.Wadogo zangu mambo yalikuwa makubwa. Hapa yupo Ludovick Kashaju Bazigiza, pembeni yupo Ally Salehe, kushoto yupo Sarungi, kulia yupo Harun Kimaro, mie nikiwa kiungo, James Mbatia akiwa winga, golini yupo Adolph Mkenda, Mosena Nyambabe centre half, benchi la ufundi yuko Lugemeleza Nshala na Asha Mzava, Kangi Ligola anaokota mipira,....
Nakumbuka mbali.
nimekipenda hiichi kikosi huwa nikikutana na lugemeleza nshala unajuwa tu huyu lawyer ni mtata
Mchawi utamjua tu. We chapa lapa tu unataka ushahidi wa nini na ili iweje? Au wewe ndiye ulimroga na kisha kuanza kueneza habari za uzushi dhidi yake.
0757282151 ndiyo namba yake.Huyu Bwana tulikuwa naye katika mapambano UDSM kilipofungwa tar 12 Mei 1990 na kufunguliwa tar 1 Januari 1991.Wadogo zangu mambo yalikuwa makubwa. Hapa yupo Ludovick Kashaju Bazigiza, pembeni yupo Ally Salehe, kushoto yupo Sarungi, kulia yupo Harun Kimaro, mie nikiwa kiungo, James Mbatia akiwa winga, golini yupo Adolph Mkenda, Mosena Nyambabe centre half, benchi la ufundi yuko Lugemeleza Nshala na Asha Mzava, Kangi Ligola anaokota mipira,....
Nakumbuka mbali.
Laahaula Lakwata!! Kikosi kilikuwa kikali hicho, Mzee Mwinyi alikuna kichwa na hapo ndio aliiona changamoto kamili ya magogoni. Cyril Chami alikuwa Rais wakati huo ila sasa naona yeye na Kangi wanakunywa maji ya kijani kwa raha zao, wamesahau maana ukombozi.
1993- 1995 nilikuwa naye pale Kiagata Musoma vijijini tukiwasaidia watoto wa kitanzania masomo baada ya shule(Tuition), cha ajabu jule jamaa hakuwa na raha ya maisha tena, wakati mwingi ukimya ulichukua nafasi....... hakika sitamsahau, kichwa chake ni cha ajabu... aliweza kuwafundisha wale vijana organic bila hata kitabu..... Ooooo my brother Matiko uko wapi? 20 years now
....Pia alikuwemo ndugu Kaishozi..product ya Umbwe sec kipindi hicho(yeye na Nshala)...0757282151 ndiyo namba yake.Huyu Bwana tulikuwa naye katika mapambano UDSM kilipofungwa tar 12 Mei 1990 na kufunguliwa tar 1 Januari 1991.Wadogo zangu mambo yalikuwa makubwa. Hapa yupo Ludovick Kashaju Bazigiza, pembeni yupo Ally Salehe, kushoto yupo Sarungi, kulia yupo Harun Kimaro, mie nikiwa kiungo, James Mbatia akiwa winga, golini yupo Adolph Mkenda, Mosena Nyambabe centre half, benchi la ufundi yuko Lugemeleza Nshala na Asha Mzava, Kangi Ligola anaokota mipira,....
Nakumbuka mbali.
Siku hiyo mabehewa yote ya TRC ya daraja la pili kulala tuliyachukua yote Kanda ya Ziwa. Alafu nyie madogo mkaandamana kutuzomea. Lipi kipindi cha mazungumzo baada ya habari cha Mzee Sozigwa wakasema LY alijiona msomi akavaa kaptula kichwani. Tumeanza ukombozi kwa suluba.
Nimefarijika sana kusikia ili jembe bado liko hai. Anafanya nini huko Ruvuma?
Tiba
SAHIHISHO.Matiko Matare ni Mwenyekiti wa kwanza wa kanda ya kusini kachaguliwa 17.7.2013.Huyu ndiye aliyekuwa HeadMaster wa kwanza sekondari ya Beroya Mkoani Ruvuma,shule ambayo inamilikiwa na Wakili Waryuba.
Kaacha kazi hiyo mwaka huu baada ya wazee wa mtaa wa Mshangano kushinikiza aondolewe na mmiliki wa shule hiyo kwa madai ya kuwachochea wanafunzi na kuwafundisha pia siasa za Chadema.Akaambiwa aache akagoma na kusema afadhali aache kazi ya ukuu wa shule na kuendelea na Chadema.Hiki ndicho kilichomkuta kwa mwaka huu.Na baada ya hapo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti.Hongera sana.La mwisho ni kuwa MCHUNGAJI WA KANISA MOJA HUKO MATARAWE SONGEA.
Kwahiyo maprofesa nao walikuwa wanajisaidia kwenye vyoo vya shimo? Mkuu wa chuo naye alikuwa anakuja kazini kwa miguu?
Those days kiukweli mtu akikuambia yupo university kweli ana deserve maana kila kitu kilikuwa kinaanzia kule pia hata akija kwenye jamii ana mchango mzuri wa mawazo hata reasoning yake ni kubwa mno na wanasiasa goigoi enzi hizo walikuwa wanapata shida sana wanapoingia kwenye jamii ya wanachuo, lakini siku hizi mmmhh sijui tufanyaje kurudisha heshima ya vyuo vyetu