Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
hawa ni wacheza shoo wanaandaa beat na mistari mipya baada ya ile ya kwanza kufa kwa 4 - 0hivi shonza na mwampamba wako wapi mashujaa hawa?
nahuyo mwingine anatoa burudani kama Mazoea !
hawa ni wacheza shoo wanaandaa beat na mistari mipya baada ya ile ya kwanza kufa kwa 4 - 0hivi shonza na mwampamba wako wapi mashujaa hawa?
Huyu jamaa siwezi kumwelezea sana, Lakini ninachokumbuka alikuja alikuja katika shule niliyokuepo wakati huo. Akawa mwalimu wa taaluma. Alikua kichwa sana kwa nafasi zake; nikauliza kwanini yupo hapa? Nikajibiwa na watu wake wa karibu "amepigwa 'ban' na govt"!Siyo mihula bali alifanya kuwe na Backlog ya kujiunga na UDSM.
Mkuu Mwita Maranya ni vyema kwa kweli tukapata habari kamili za huyu jamaa pamoja na hata picha ikiwezekana. Mtu kama huyu ambaye alikuwa maarufu wakati ule na kisha kukawa na habari kwamba alikuwa kichaa kisha aktangulia mbele za haki, basi maneno tu yanakuwa hayatoshi. Tupate ushahidi zaidi.
Mkuu Kashishi habari za Bazigiza nazo zimekuwa kama za Matiku Matare. Kuna tetesi zilizagaa kuwa alionekana huko Ngara kisha akatangulia mbele za haki. Kama hawa jamaa wapo ni vyema wakajitokeza na kutuambia kama kweli bado wapo. Pia wanaweza hata kuandika kitabu kuhusu ule mgomo na jinsi walivyouendesha kwa ajili ya historia tu ya UDSM pamoja na nchi kwa ujumla. Ule ulikuwa mgomo mama wa migomo yote tangia UDSM ianzishwe na siamini kwa hali ya sasa kama mgomo kama ule unaweza kutokea tena. Miaka zaidi ya 30 sasa kila kitu kinaweza wekwa wazi na wanaoweza kuweka wazi kila kitu ni pamoja na Matiku, Bazigiza, jamaa mmoja akiitwa Sarungi na wengine kadhaa. Imani yangu ni kwamba mgomo ule ulikuwa ni mikono mingi na si ajabu hata wanasiasa walikuwemo.
Kwahiyo chuo chenu maprofesa wanaongozwa kwa mgomo!!!
Job K, Gamboshi ndiyo wapi?Hivi mkuu hiki kijamaa unakifahamu nini? mbona umepatia hivyo kwamba ni kichawi? Kinatoka kule Gamboshi!
Kamanda Matiko Matare ni mzima tena bugheri wa afya,, nilikuwa nasikia sana taarifa zake,, nikajaaliwa kumuona live kwa mara ya kwanza juzi trh 07/10/2013 alipokuja Dar katika semina ya mafunzo kwa viongozi wa kanda CHADEMA,,