Kesho naenda vuna shamba langu la matikiti maji uko mkuranga..so kuanzia jion mzigo utakuwa unapatikana. Nafanya home delivery kwa maeneo ya tabata sanene adi segerea kuanzia matikiki matano na pia kwa wale wanaotaka mzigo mkubwa ni PM tufanye biashara bei ni poa sana ndugu. Karibuni sana