Matibabu India, Bomu jingine linalotegwa


Mkuu thead yako nimeipenda na najua viongozi wa ccm huwa wanapita humu na wanaona maoni ya wananchi wao, na siku zote nasema ccm ni sikio lakufa ambalo halisikii dawa, katika hili iliyobaki ni wananchi kufanya uamuzi thabiti toka ngazi za juu mpaka za chini kuakikisha ccm tumewang'oa kwote nahisi mizizi hii ya kifisadi itakwisha na kama haitakwisha itapungua kwa asilimia kubwa sana
 


India ni cheap kuliko Nairobi hospital, kuliko hospitali nzuri za South Africa. ukipima ubora na gharama ulaya, US,Asia nyingine ni ghali zaidi. cha kujiuliza ni kwamba tungeboresha hospitali ya rufaa muhimbili ili wakuu watibiwe pale na siyo kupelekwa nje ya nchi.
 
Ameeen!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…