Hahaha. Mwali kama ulijibu hivi basi utakuwa unatisha. Hiyo ni akili ya ziada. Zamani tulikuwa tunaita necha.Majibu yetu ya form four mnaweka hadharani!
Thinking beyond the horizon.ukiwa nao hawa upati failure darasani mwako...
Hahaha. Mwali kama ulijibu hivi basi utakuwa unatisha. Hiyo ni akili ya ziada. Zamani tulikuwa tunaita necha.
Thinking beyond the horizon.
Kwani Mwali na wewe ulijifunza kutafuta limiting value ukiwa O'level?Majibu yetu ya form four mnaweka hadharani!
As if I even know what O'level means. hahahahahaKwani Mwali na wewe ulijifunza kutafuta limiting value ukiwa O'level?
Kwa kweli huyu binti ni kipanga kuliko mwalimu wake.
![]()
6 years primary,Kwani Mwali na wewe ulijifunza kutafuta limiting value ukiwa O'level?
Tusidanganyane, hapa hakuna hesabu yoyote..!Kwa kweli huyu binti ni kipanga kuliko mwalimu wake.
![]()
Hizi bangi ndo zilizomua Mangeir
6 years primary,
6 years secondary.
Sasa 4th year ndipo tulijifunza.
6 years primary,
6 years secondary.
Sasa 4th year ndipo tulijifunza.
Tusidanganyane, hapa hakuna hesabu yoyote..!
Hebu subiri kidogo ni-gooogle hii mambo ya infinity concept then nitakurudi..!Kuna nini hapo mkuu Kama sio hesabu hizi ni concept za infinity, katika hesabu kama kumbukumbu zangu zipo vizuri nilizisoma katika topic ya function Advance na at university kwenye course za Mathematical analysis.