Mathematics in holy books

Mathematics in holy books

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
1,795
Reaction score
1,132
Nilishangaa kuona mtu mmoja akisema kuwa quran imetaja vitu kwa maana maalum.

Mfano:-

1. Neno day kwenye kitabu chote limetajwa mara 365
2. Neno days (Plural) limetajwa mara 30
3. Neno months limetajwa mara 12
4. Punishment mara 117 na forgiveness mara 234
5. World imetajwa mara 115= hereafter imetajwa mara115
6. Paradise imetajwa mara 77 na hell imetajwa mara 77
7. The righteous mara 6 na the wicked mara 3
8. Zakah mara 32 na blessing mara 32
9. Angels wametajwa mara 88 na satan ametajwa mara 88
10. Sun limetajwa mara 33 na moon limetajwa mara 33
11. Adam ametajwa mara 25 na issah ametajwa mara 25
12. Man ametajwa mara 23 na woman ametajwa mara 23
13. Land imetajwa mara 13 na sea imetajwa mara 32.

Yapo mengi zaidi ya hao ila kilichonishangaza ni kuona maana ya kutajwa kwa utaratibu huo:- mfano NAMBA 13, land (13)+sea(32)=45. Ukitafuta ratio utapata land=28.88888889% na sea ni 71.11111111% ambayo inakubalian na geographia .

Inayofuata namba 12. 23(man)+23(woman)=46 hizi ni idadi za chromosones mtu anazokuwa nazo ambazo inakubaliana na biologia kwani 23 zinatoka kwa baba na 23 kwa mama.

Namba 11: Hii inaonyesha mbele ya mwenye hiki kitabu wawili hawa ni sawa. nimefurahishwa na mtiririko na maana alizoeleza, NAOMBA KITABU KINGINE KINIFUNDISHE HESABU KAMA HIZI.
 
''Hakika hiki ni kitabu kisichokuwa na shaka, na ni muongozo kwa wamchao mwenyezi mungu'' (QUR-AN, surat baqara)
 
Niko bize kidogo nikiwa free in shaa Allah nitajuja mathematical fact kati ya mwz na jua
 
Wana jf bado nasubiri vitabu vya imani nyingine vinifundishe hesabu kama au zaidi ya quran (ikiwemo biblia ya wakristo au ligweed ya hindus). Kwa kweli nimevutiwa mno na utaratibu wa kurani ya waislamu na vyote nilivyoviweka hapo juu vina maana yake japokuwa sijavieleza. Naomba mathematics kwenye hivyo vitabu nisaidieni!
 
Back
Top Bottom