Mathematics in holy books

Mathematics in holy books

ngoja nikusaidie kijana. Naona unachanganya mambo; kuna aya nyingi zinazosema earth and heavens were created in 6 days, mfano: 7:54, 10:3, 11:7, 25:59, 32:4, 57:4. ( 6 days za hapo sio kama zile za kwenye biblia neno lililotumika kwenye quran ni ayoum=very long period)

surat fusilat 41:9-12. Kijana umesoma without thinking!!!. Arabic word used is thuma (watakucheka thuma maana yake sio +). Thuma maana yake ni simultaneosly angalia dictionary ya kiarabu. Mfano: Allah aliumba dunia thuma the heaven (hawajumlishi). heaven and earth were created simultanesosly 2 days

Mkuu asikupe shida huyu kafiri hana ajualo, mwambie alete hesabu kwenye bibilia, paulo na hesabu wapi na wapi!
 
UTATA KATIKA KUUMBA DUNIA
Je, Allah aliumba Dunia kwa siku 6 au 8?

Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu uumbaji wa Dunia. Allah wa Uislam, anasema kuwa yeye ni Mungu na aliumba Dunia na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za Quran.

Allah anasema katika Sura 7:54, 10:3, 11:7, na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6. Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.

Quran 7:54. Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Surah 10: 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

Lakini Ndugu zanguni, nilipo endelea kuchunguza Quran nikagundua kuwa, kumbe Allah alidanganya pale alipo sema kuwa aliumba Dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia Quran iliyo shushwa na Jibril.

Sasa tutasoma Surah ya 41: 9-12. Katika hizi aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa Allah hakuumba Dunia kwa Siku 6 kama alivyo dai hapo mwanzoni.

HII AYA INASEMA ALLAH KAUMBA KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu wote.

+

HAPA ALLAH ANAUNGANISHA MAWINGU NA ARDHI KWA SIKU NNE(4)

Quran 41:10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.

+

HAPA ALLAH ANAZITENGENEZA MBINGU KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.

HIZI ZOTE KWA PAMOJA NI SIKU NANE (8)

Siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika aya nyingine.

NGOJA NIWEKE KWA UFUPI

Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** Mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4

---------

Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2

Ndugu zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema aliumba Dunia kwa siku 6.

NGOJA NIKUSAIDIE KIJANA. NAONA UNACHANGANYA MAMBO; KUNA AYA NYINGI ZINAZOSEMA EARTH AND HEAVENS WERE CREATED IN 6 DAYS, MFANO: 7:54, 10:3, 11:7, 25:59, 32:4, 57:4. ( 6 DAYS ZA HAPO SIO KAMA ZILE ZA KWENYE BIBLIA NENO LILILOTUMIKA KWENYE QURAN NI AYOUM=VERY LONG PERIOD)

SURAT FUSILAT 41:9-12. KIJANA UMESOMA WITHOUT THINKING!!!. ARABIC WORD USED THUMA (WATAKUCHEKA THUMA MAANA YAKE SIO +). THUMA MAANA YAKE NI SIMULTANEOSLY ANGALIA DICTIONARY YA KIARABU. MFANO: ALLAH ALIUMBA DUNIA THUMA THE HEAVEN (HAWAJUMLISHI). kwa hiyo sio 2+4+2= 8 sio maana yake. Neno Thuma lina Maana ya 2+4=6. NAKUSHAURI UJIFUNZE KIARABU
 
kaka mbona apo iko clear ni siku 6 tu? mchanganuo wake ndio huo ameutoa hapo siku 4 ardhi na vilivyomo juu ya ardhi na siku 2 mbingu na vlivyomo mbinguni ukijumlisha unapata siku 6 sasa hapo shida iko wapi..
huyo Jehova ndio Allah huyo huyo na ndio mana kwenye vitabu vyote ametaja siku 6 tu katka uumbaji..

nakushauri usiwe na jazba hebu soma vizuri quran ni kitabu kinaeleweka vizuri sana..nakutakia kila la heri na nakuombea Mungu akuongoze katika njia sahihi
 
Because you are brainwashed. Come out of the muhammadic box.
 
NGOJA NIKUSAIDIE KIJANA. NAONA UNACHANGANYA MAMBO; KUNA AYA NYINGI ZINAZOSEMA EARTH AND HEAVENS WERE CREATED IN 6 DAYS, MFANO: 7:54, 10:3, 11:7, 25:59, 32:4, 57:4. ( 6 DAYS ZA HAPO SIO KAMA ZILE ZA KWENYE BIBLIA NENO LILILOTUMIKA KWENYE QURAN NI AYOUM=VERY LONG PERIOD)

SURAT FUSILAT 41:9-12. KIJANA UMESOMA WITHOUT THINKING!!!. ARABIC WORD USED THUMA (WATAKUCHEKA THUMA MAANA YAKE SIO +). THUMA MAANA YAKE NI SIMULTANEOSLY ANGALIA DICTIONARY YA KIARABU. MFANO: ALLAH ALIUMBA DUNIA THUMA THE HEAVEN (HAWAJUMLISHI). kwa hiyo sio 2+4+2= 8 sio maana yake. Neno Thuma lina Maana ya 2+4=6. NAKUSHAURI UJIFUNZE KIARABU
NGOJA NIWEKE KWA UFUPI

Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** Mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4

---------

Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2

Ndugu zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema aliumba Dunia kwa siku 6.
 
ngoja niweke kwa ufupi

muundo ni wazi sana: Haya ni matabaka matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

quran 41:9*** mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

quran 41:10*** baraka [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4

---------

quran 41:12***earth [msingi] kukamilika katika siku 2

ndugu zanguni, hivi allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa muumbaji? Kwanini allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata allah asiye fahamu aliumba dunia kwa siku ngapi au jehova ambaye alisema aliumba dunia kwa siku 6.

mimi nilikuwa najua labda utasoma vizuri tuweze kuchambua lugha iliyotumika hapo kwenye uhalisia. Kumbe umekaririi tasfsiri.
nisingependa kueleza mathematics kwenye biblia kwa sababu za hitilafu zilizokuwemo, najua kuna watu wengi wanasoma wewe upo kama demo. Wenye akili wameelewa na wamenyamaza kimya. ". nitaendelea kutoa mathematics kutoka kwenye kuran sitogusa biblia. Bibia mtatoa nyinyi wenyewe.
 
mimi nilikuwa najua labda utasoma vizuri tuweze kuchambua lugha iliyotumika hapo kwenye uhalisia. Kumbe umekaririi tasfsiri.
nisingependa kueleza mathematics kwenye biblia kwa sababu za hitilafu zilizokuwemo, najua kuna watu wengi wanasoma wewe upo kama demo. Wenye akili wameelewa na wamenyamaza kimya. ". nitaendelea kutoa mathematics kutoka kwenye kuran sitogusa biblia. Bibia mtatoa nyinyi wenyewe.

Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu uumbaji wa Dunia. Allah wa Uislam, anasema kuwa yeye ni Mungu na aliumba Dunia na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za Quran.

Allah anasema katika Sura 7:54, 10:3, 11:7, na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6. Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.

Quran 7:54. Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Surah 10: 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

Lakini Ndugu zanguni, nilipo endelea kuchunguza Quran nikagundua kuwa, kumbe Allah alidanganya pale alipo sema kuwa aliumba Dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia Quran iliyo shushwa na Jibril.

Sasa tutasoma Surah ya 41: 9-12. Katika hizi aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa Allah hakuumba Dunia kwa Siku 6 kama alivyo dai hapo mwanzoni.

HII AYA INASEMA ALLAH KAUMBA KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu wote.

+

HAPA ALLAH ANAUNGANISHA MAWINGU NA ARDHI KWA SIKU NNE(4)

Quran 41:10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.

+

HAPA ALLAH ANAZITENGENEZA MBINGU KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.

HIZI ZOTE KWA PAMOJA NI SIKU NANE (8)

Siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika aya nyingine.

NGOJA NIWEKE KWA UFUPI

Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** Mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4
---------

Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2

Ndugu zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema aliumba Dunia kwa siku 6.
 
Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu uumbaji wa Dunia. Allah wa Uislam, anasema kuwa yeye ni Mungu na aliumba Dunia na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za Quran.

Allah anasema katika Sura 7:54, 10:3, 11:7, na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6. Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.

Quran 7:54. Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Surah 10: 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

Lakini Ndugu zanguni, nilipo endelea kuchunguza Quran nikagundua kuwa, kumbe Allah alidanganya pale alipo sema kuwa aliumba Dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia Quran iliyo shushwa na Jibril.

Sasa tutasoma Surah ya 41: 9-12. Katika hizi aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa Allah hakuumba Dunia kwa Siku 6 kama alivyo dai hapo mwanzoni.

HII AYA INASEMA ALLAH KAUMBA KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu wote.

+

HAPA ALLAH ANAUNGANISHA MAWINGU NA ARDHI KWA SIKU NNE(4)

Quran 41:10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.

+

HAPA ALLAH ANAZITENGENEZA MBINGU KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.

HIZI ZOTE KWA PAMOJA NI SIKU NANE (8)

Siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika aya nyingine.

NGOJA NIWEKE KWA UFUPI

Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** Mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4
---------

Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2

Ndugu zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema aliumba Dunia kwa siku 6.

I WILL CONTINUE WITH MATHEMATICS UNTIL PEOPLE TO KNOW WHERE IS THE TRUTH, I THOUGHT YOU KNOW THE ORIGIN LANGUAGE OF THE FINAL REVELATION so as i can help you understand. qURAN IS IN Arabic however when you translate it to English you don't really get the more correct connotation to the word. In Arabic the words all make sense more so than in the English translation.
I AM SO HAPPY BECAUSE MORE THAN 1500 PEOPLE HAVE VIEWED THIS TOPIC
 
http://www.muslimpersonallaw.co.za/Author of the Quran does not know Mathematics.pdf
 
Nilishangaa kuona mtu mmoja akisema kuwa quran imetaja vitu kwa maana maalum.

Mfano:-

1. Neno day kwenye kitabu chote limetajwa mara 365
2. Neno days (Plural) limetajwa mara 30
3. Neno months limetajwa mara 12
4. Punishment mara 117 na forgiveness mara 234
5. World imetajwa mara 115= hereafter imetajwa mara115
6. Paradise imetajwa mara 77 na hell imetajwa mara 77
7. The righteous mara 6 na the wicked mara 3
8. Zakah mara 32 na blessing mara 32
9. Angels wametajwa mara 88 na satan ametajwa mara 88
10. Sun limetajwa mara 33 na moon limetajwa mara 33
11. Adam ametajwa mara 25 na issah ametajwa mara 25
12. Man ametajwa mara 23 na woman ametajwa mara 23
13. Land imetajwa mara 13 na sea imetajwa mara 32.

Yapo mengi zaidi ya hao ila kilichonishangaza ni kuona maana ya kutajwa kwa utaratibu huo:- mfano NAMBA 13, land (13)+sea(32)=45. Ukitafuta ratio utapata land=28.88888889% na sea ni 71.11111111% ambayo inakubalian na geographia .

Inayofuata namba 12. 23(man)+23(woman)=46 hizi ni idadi za chromosones mtu anazokuwa nazo ambazo inakubaliana na biologia kwani 23 zinatoka kwa baba na 23 kwa mama.

Namba 11: Hii inaonyesha mbele ya mwenye hiki kitabu wawili hawa ni sawa. nimefurahishwa na mtiririko na maana alizoeleza, NAOMBA KITABU KINGINE KINIFUNDISHE HESABU KAMA HIZI.

Ndani ya quruan si mathematic in holy book, bt is the miracal mathematic in quran.nawala haifananu na jinsi mtoa mada alivyo kua anabahatisha kupanga hesabu zake. ngojea nikusaidie kidogo tu muujiza wa hesabu ktka mpangilio wa kitabu kisichokua na shaka muuongozo kwa binaadamu wote.
Allah alipo shusha kitabu hiki kupitia kwa mtume Muhammad s.w. killipat upinzani mkubwa sana kutoka kwa waabudu masanamu ,mizimu, na washirikina wanao abudu asiekua Allah. hawa wakamzonga mtume s.w na kumuambia ametunga kitabu na kudai ni cha Mungu ndipo Allah akjibu tuhuma hizo kwa kuwambia washirikina JUU YA KITABU HIKI KUNA HERUFI KUMI NATISA . quran 74:30 (kama mnaweza tungeni na nyie chenu kwa maneno yenu na idadi ya herufi yenu na kiwe na muujiza kama huu.
Quran inaanzwa kusoma kwa Bismillah rahman rahimu .Maneno haya kwa lugha ya kiaarabu yana alphabets 19 tu yaani ب س م ا ل ل ه ا ل ر Ø- م ن ا ل ر Ø- ي م..sasa ktk sentesi hii kuna maneno 4 yaani
1-Bismmi (kwa jina)
2 A LLahi- (la Allah)
3 Arahman (mwingi wa rehma)
4 Arrahimu (mwenye kurehem)
Quran yote ina sura 114÷19=6
Jumla ya neno ismmi (jina) ktk quran yote ni 19÷19=1
jumla ya neno Allah (mwenyezi mungu) ktk quran yote 2698÷19=142
Neno Arrahman(mwingi wa rehm)jumla yake 57÷19=3
Neno Arrahimu(mwenye kurehemu) jumla yake 114÷19=6
NB; 19 ni namba tasa .kwa ufupi this is mathematic miracle in quran there is more & more 4this miracle extended 2the numb. of all verses of quran divided by 19 without decimal. unlike ur example.
 
Back
Top Bottom