Mathematics in holy books

Mathematics in holy books

Naona hakuna majibu kutoka kitabu kingine cha imani. Kama nilivyosema awali zipo aya nyingi zinazohusu mathematics. Sijui kwa nini hivyo vingine havina?. Aya zingine
kuran 7:176 "those who rejects our signs are like dogs...." cha kushangaa ni kwamba katika kuran those who rejects our signs wametajwa mara 5 na vile vile dogs wametajwa mara 5.
kuran 35;20 " darkness is not like light.". Neno darkness limetajwa mara 23 na light mara 24.

Conclusion

NO HUMAN BEING CAN WRITE IN THIS STYLE, HAS TO BE A REVELATION
 
Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, (Qur-an 2:2)
 
Tabby Ishmael na wajinga wengine

Quran-15:19: And the earth We have spread out (like a carpet); set thereon Mountains firm and immovable;

· Quran-78: 6-7: Have We not made the earth as a wide expanse, And the mountains as pegs (anchor) ?

Allah was sure that earth is flat like a carpet and mountains are there to anchor the earth so that earth does not shake with us. Allah is really merciful scientist.

Here in this verse, Allah challenge people: who can tell whether the conceived is male or female ?

· Quran-31:34: Verily the knowledge of the Hour is With God (alone). It is He Who sends down rain, and He who knows What is in the wombs of mothers....

Who does not believe the fact that, actually mankind can predict very accurately (99.5%) when rain will fall and can predict (99.8%) what sex of the child inside wombs of mothers. Scientists also predicts that, in the next five years weather predictions will be successfully correct almost 100%. Allah perhaps, could not imagine this.
 
Ishmael unajitahidi kusoma. Ila kuelewa ndio shida. Wewe huwezi kuelewa hicho kitabu. Utakariri tu kama mwanafunzi
 
Ardhi ni tambarare kama kapeti. Inakuwa duara ukiwa nje ya dunia. Ndani ya dunia huoni hilo dunia duara!
 
Wana jf bado nasubiri vitabu vya imani nyingine vinifundishe hesabu kama au zaidi ya quran (ikiwemo biblia ya wakristo au ligweed ya hindus). Kwa kweli nimevutiwa mno na utaratibu wa kurani ya waislamu na vyote nilivyoviweka hapo juu vina maana yake japokuwa sijavieleza. Naomba mathematics kwenye hivyo vitabu nisaidieni!

Kwanini unatafuta kitabu kingine cha kulinganisha huiamini qur an yako au vip,kwa hiyo ukiskia Bible nayo imeandika hivi-imani yako na qur an itaimarika au!!!???

Hakipo kitabu kinachoshindana na qur an kati ya hivyo hapo juu,kwa sababu vyote viliitangulia.

Wewe endelea kutafuta maajabu yaliyomo ndani ya qur an,uendelee kufurahi yapo mengi tu,hicho ni kitabu cha maajabu,usishangae.
 
Naona hakuna majibu kutoka kitabu kingine cha imani. Kama nilivyosema awali zipo aya nyingi zinazohusu mathematics. Sijui kwa nini hivyo vingine havina?. Aya zingine
kuran 7:176 "those who rejects our signs are like dogs...." cha kushangaa ni kwamba katika kuran those who rejects our signs wametajwa mara 5 na vile vile dogs wametajwa mara 5.
kuran 35;20 " darkness is not like light.". Neno darkness limetajwa mara 23 na light mara 24.

Conclusion

NO HUMAN BEING CAN WRITE IN THIS STYLE, HAS TO BE A REVELATION

Unahitaji maajabu tu,ili uamini kuna mkono wa Mungu hahaaaa,kazi ipo.

And why human being can't!!!!!!!!
 
Ishmael unajitahidi kusoma. Ila kuelewa ndio shida. Wewe huwezi kuelewa hicho kitabu. Utakariri tu kama mwanafunzi

[h=3]Numerical contradictions [/h]There are many numerical contradictions in the Quran. Can God make so much error in doing simple calculations?
How many days did it take to create Heavens and Earth ?

Quran 7: 54 Your gurdian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran 10: 3 Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran 11:7 He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days

The above verses clearly state that God created the heaven and Allah created the heaven and the Earth in 6 days. But the verses below stated-

Quran 41: 9 Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran 41: 10 He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran 41: 12 So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …

Now do the math: 2(for earth) + 4(for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days
Similar mistakes you can see in the verse: Quran 4: 11 - 12, and Quran 4: 176 in inheritance law. In these verses one can see the total property after adding all distributed parties adds up more than the available property, i.e., totals become more than 1 which are: 1.125 and 1.25. How come ? A gross mathematical errors, is not it ?
Allah's Days Equal to 1000 Years or 50,000 Years?

Quran 22: 47 A day in the sight of the Lord is like a thousand years of your reckoning. Quran-32:5: To Him, on a Day, the space whereof will be a thousands years of your rekoning
Quran 70: 4 The angels and the spirit ascend unto him in a day the measure whereof is Fifty thousands years.

So, which one is it? Is the day of Allah equal to 1,000 earth years or 50,000 earth years?
 
Quran-15:19: And the earth We have spread out (like a carpet); set thereon Mountains firm and immovable;

· Quran-78: 6-7: Have We not made the earth as a wide expanse, And the mountains as pegs (anchor) ?

Allah was sure that earth is flat like a carpet and mountains are there to anchor the earth so that earth does not shake with us. Allah is really merciful scientist.

Here in this verse, Allah challenge people: who can tell whether the conceived is male or female ?

· Quran-31:34: Verily the knowledge of the Hour is With God (alone). It is He Who sends down rain, and He who knows What is in the wombs of mothers....

Who does not believe the fact that, actually mankind can predict very accurately (99.5%) when rain will fall and can predict (99.8%) what sex of the child inside wombs of mothers. Scientists also predicts that, in the next five years weather predictions will be successfully correct almost 100%. Allah perhaps, could not imagine this.

Hujazielewa hizo Aya hata kidogo, japo zenyewe ziko waziwazi. Sasa sijui ni kichwa kibovu au?
 
Too much knowledge is a problem
cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:

[h=3]Numerical contradictions [/h]There are many numerical contradictions in the Quran. Can God make so much error in doing simple calculations?
How many days did it take to create Heavens and Earth ?

Quran 7: 54 Your gurdian-Lord is Allah who created the heavens and earth in Six Days
Quran 10: 3 Verily your Lord is Allah, who created the heavens and earth in Six Days
Quran 11:7 He it is Who created the heavens and earth in Six Days
Quran-25:29: He Who created the heavens and earth and all that is between, in Six Days

The above verses clearly state that God created the heaven and Allah created the heaven and the Earth in 6 days. But the verses below stated-

Quran 41: 9 Is it that ye deny Him who created the earth in Two Days ?
Quran 41: 10 He set on the (earth) Mountains standing firm high above it, and bestowed blessing on the earth, and measured therein all things to give them nourishment in due proportion, in FOUR DAYS…
Quran 41: 12 So He completed them (heavens) as seven firmaments in Two days and …

Now do the math: 2(for earth) + 4(for nourishment) + 2 (for heavens) = 8 days; and not 6 days

Nadhani wewe ndio unajichanganya. Aya za Juu umeambiwa heaven +earth (with nourishment ) in 6days
chini umepewa breakout yake, earth alone in 2 days;

Then 2days (heaven)+4days (earth including nourishment and proportion set up)=Total 6days; hizo 8 unatoa wapi? Au hesabu zako ni za BRN? Au Kutoka katika quran yako?

Sijaona "contradictions" ktk Aya hizo. Mathematically, huwezi kui-challenge quran kijana utajisumbua bure. Na kuhusu ni siku zipi hizo zilizotajwa hapo, hiyo ni "topic" ambayo huwezi kuijua ww kwa ujuha wako wa kushindwa hata hizo hesabu za "counting numbers "
 
Hujazielewa hizo Aya hata kidogo, japo zenyewe ziko waziwazi. Sasa sijui ni kichwa kibovu au?
Mkuu majibu ya aina hii hayasaidii. Ni busara zaidi ikiwa utazitolea ufafanuzi wa kueleweka lakini kwa utaratibu huu inakuwa kama umeshindwa kujibu hoja na umepandwa na jazba. Kuna watu wengi sana watafaidika na huo ufanunuzi kama unao.
 
Hujazielewa hizo Aya hata kidogo, japo zenyewe ziko waziwazi. Sasa sijui ni kichwa kibovu au?

Nadhani wewe ndio unajichanganya. Aya za Juu umeambiwa heaven +earth (with nourishment ) in 6days
chini umepewa breakout yake, earth alone in 2 days;

Then 2days (heaven)+4days (earth including nourishment and proportion set up)=Total 6days; hizo 8 unatoa wapi? Au hesabu zako ni za BRN? Au Kutoka katika quran yako?

Sijaona "contradictions" ktk Aya hizo. Mathematically, huwezi kui-challenge quran kijana utajisumbua bure. Na kuhusu ni siku zipi hizo zilizotajwa hapo, hiyo ni "topic" ambayo huwezi kuijua ww kwa ujuha wako wa kushindwa hata hizo hesabu za "counting numbers "

UTATA KATIKA KUUMBA DUNIA
Je, Allah aliumba Dunia kwa siku 6 au 8?

Katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu uumbaji wa Dunia. Allah wa Uislam, anasema kuwa yeye ni Mungu na aliumba Dunia na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za Quran.

Allah anasema katika Sura 7:54, 10:3, 11:7, na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6. Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.

Quran 7:54. Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi Mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya Kiti cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Surah 10: 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

Lakini Ndugu zanguni, nilipo endelea kuchunguza Quran nikagundua kuwa, kumbe Allah alidanganya pale alipo sema kuwa aliumba Dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia Quran iliyo shushwa na Jibril.

Sasa tutasoma Surah ya 41: 9-12. Katika hizi aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa Allah hakuumba Dunia kwa Siku 6 kama alivyo dai hapo mwanzoni.

HII AYA INASEMA ALLAH KAUMBA KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu wote.

+

HAPA ALLAH ANAUNGANISHA MAWINGU NA ARDHI KWA SIKU NNE(4)

Quran 41:10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.

+

HAPA ALLAH ANAZITENGENEZA MBINGU KWA SIKU MBILI (2)

Quran 41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha Mwenyezi Mungu Mwenye Kujua.

HIZI ZOTE KWA PAMOJA NI SIKU NANE (8)

Siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika aya nyingine.

NGOJA NIWEKE KWA UFUPI

Muundo ni wazi sana: Haya ni Matabaka Matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** Mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

Quran 41:10*** BARAKA [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4

---------

Quran 41:12***EARTH [msingi] kukamilika katika siku 2

Ndugu zanguni, hivi Allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa Muumbaji? Kwanini Allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo Allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si Muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata Allah asiye fahamu aliumba Dunia kwa Siku Ngapi au Jehova ambaye alisema aliumba Dunia kwa siku 6.
 
Nilishangaa kuona mtu mmoja akisema kuwa quran imetaja vitu kwa maana maalum. Mfano:-
1. Neno day kwenye kitabu chote limetajwa mara 365
2. Neno days (plural) limetajwa mara 30
3. Neno months limetajwa mara 12
4.punishment mara 117 na forgiveness mara 234
5.world imetajwa mara 115= hereafter imetajwa mara115
6.paradise imetajwa mara 77 na hell imetajwa mara 77
7. The righteous mara 6 na the wicked mara 3
8. Zakah mara 32 na blessing mara 32
9. Angels wametajwa mara 88 na satan ametajwa mara 88
10 sun limetajwa mara 33 na moon limetajwa mara 33
11. Adam ametajwa mara 25 na issah ametajwa mara 25
12. Man ametajwa mara 23 na woman ametajwa mara 23
13. Land imetajwa mara 13 na sea imetajwa mara 32.

Yapo mengi zaidi ya hao ila kilichonishangaza ni kuona maana ya kutajwa kwa utaratibu huo:- mfano NAMBA 13, land (13)+sea(32)=45. Ukitafuta ratio utapata land=28.88888889% na sea ni 71.11111111% ambayo inakubalian na geographia .

Inayofuata namba 12. 23(man)+23(woman)=46 hizi ni idadi za chromosones mtu anazokuwa nazo ambazo inakubaliana na biologia kwani 23 zinatoka kwa baba na 23 kwa mama.

Namba 11: Hii inaonyesha mbele ya mwenye hiki kitabu wawili hawa ni sawa. nimefurahishwa na mtiririko na maana alizoeleza, NAOMBA KITABU KINGINE KINIFUNDISHE HESABU KAMA HIZI

Kitabu kingine? subutuu!
 
Leo makafiri hawachozi wanachungulia wanarudi, wako kwenye mijadala ya mahakama ya kazi uko wanatukana, uku hakuingiliki
 
utata katika kuumba dunia
je, allah aliumba dunia kwa siku 6 au 8?

katika somo letu la leo, tutajifunza kuhusu uumbaji wa dunia. Allah wa uislam, anasema kuwa yeye ni mungu na aliumba dunia na vitu vyote vilivyo ndani yake. Hebu tuanze somo letu kwa kusoma aya za quran.

Allah anasema katika sura 7:54, 10:3, 11:7, na 25:59 kuwa, aliumba dunia kwa siku 6. Soma aya hizi hapa chini kwa ushaidi zaidi.

Quran 7:54. Hakika mola mlezi wenu ni mwenyezi mungu aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Kisha akatawala juu ya kiti cha enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba na amri ni zake. Ametukuka kabisa mwenyezi mungu, mola mlezi wa viumbe vyote.

Surah 10: 3. Hakika mola wenu mlezi ni mwenyezi mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye mwenyezi mungu, mola wenu mlezi. Basi muabuduni yeye. Je! Hamkumbuki?

Lakini ndugu zanguni, nilipo endelea kuchunguza quran nikagundua kuwa, kumbe allah alidanganya pale alipo sema kuwa aliumba dunia kwa siku sita. Sasa ungana nami katika uchunguzi wa uumbaji wa dunia kama ulivyo wekwa kiuwazi zaidi kupitia quran iliyo shushwa na jibril.

Sasa tutasoma surah ya 41: 9-12. Katika hizi aya tutakazo zisoma, utangudua kuwa allah hakuumba dunia kwa siku 6 kama alivyo dai hapo mwanzoni.

Hii aya inasema allah kaumba kwa siku mbili (2)

quran 41:9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi katika siku mbili, na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye mola mlezi wa walimwengu wote.

+

hapa allah anaunganisha mawingu na ardhi kwa siku nne(4)

quran 41:10. Na akaweka humo milima juu yake, na akabarikia humo na akakadiria humo chakula chake katika siku nne. Haya ni sawa kabisa kwa wanao uliza 11. Kisha akazielekea mbingu, na zilikuwa moshi, akaziambia hizo na ardhi: Njooni, kwa khiari au kwa nguvu! Vyote viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu.

+

hapa allah anazitengeneza mbingu kwa siku mbili (2)

quran 41:12. Basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. Na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi. Hichi ndicho kipimo cha mwenyezi mungu mwenye kujua.

Hizi zote kwa pamoja ni siku nane (8)

siku mbili kwa ajili ya viumbe wa dunia, basi siku nne kujaza ardhi na milima baraka, na chakula kwa ajili ya wakazi wake wote, na mwisho kwa siku mbili zaidi ili kujenga mbingu saba na kujenga nyota yao. Hii inaongeza hadi 2 + 4 + 2 = siku 8 kinyume na siku 6 zilizotajwa katika aya nyingine.

Ngoja niweke kwa ufupi

muundo ni wazi sana: Haya ni matabaka matatu ambayo ni umbaji chini hadi juu:

Quran 41:9*** mbingu [angani, "dari" juu ya dunia] katika siku 2

----------

quran 41:10*** baraka [kujaza dunia na kila kitu zinahitajika kwa ajili ya maisha] katika siku 4

---------

quran 41:12***earth [msingi] kukamilika katika siku 2

ndugu zanguni, hivi allah alishindwa mahesabu au ndio kutuhakikishia kuwa yeye hakuwa muumbaji? Kwanini allah afanye makosa makumbwa namna hii? Leo allah kwa mara nyingine tena ametuhakikishia kuwa yeye si muumbaji. Uchaguzi ni wako, kufuata allah asiye fahamu aliumba dunia kwa siku ngapi au jehova ambaye alisema aliumba dunia kwa siku 6.

ngoja nikusaidie kijana. Naona unachanganya mambo; kuna aya nyingi zinazosema earth and heavens were created in 6 days, mfano: 7:54, 10:3, 11:7, 25:59, 32:4, 57:4. ( 6 days za hapo sio kama zile za kwenye biblia neno lililotumika kwenye quran ni ayoum=very long period)

surat fusilat 41:9-12. Kijana umesoma without thinking!!!. Arabic word used is thuma (watakucheka thuma maana yake sio +). Thuma maana yake ni simultaneosly angalia dictionary ya kiarabu. Mfano: Allah aliumba dunia thuma the heaven (hawajumlishi). heaven and earth were created simultanesosly 2 days
 
Back
Top Bottom