Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,900
Naanza Mimi,
Zidisha mamba yoyote yenye tarakimu 3 mara 999 Kwa sekunde tano tu.
Mfano 526 x 999 jibu ni 525,474
Soln
526 toa 1 jibu ni 525 (tumeanza kupata jibu, iandike chini kushoto)
Toa 526 kutoka 1000 yaani;
1000 -526 = 474. Tumemaliza kazi. Hiyo 474 iandike mbele ya 525 niliyosema uandike mara ya kwanza ambapo itakuwa 525,474 ambayo ni jibu letu.
Karibu tupeane tricks nyingine.