Kama huna kazi wenye shule wakutafute ukasaidie watoto wetu huko😅4 + 4 = 8
7 + 7 = 14
9 + 9 = 18
10 + 10 = 20
The difference;
7 -4=3
9 - 7= 2
10 - 9 = 1
1,2,3,4,5,6,7,8,9
The missing number is 4 ie. The difference between 28…(14 + 14) and 20…(10 + 10).
4 + 4 = 8
7 + 7 = 14
9 + 9 = 18
10 + 10 = 20
The difference;
7 -4=3
9 - 7= 2
10 - 9 = 1
1,2,3,4,5,6,7,8,9
The missing number is 4 ie. The difference between 28…(14 + 14) and 20…(10 + 10).
Hivi ni mara ngapi nitawaelekezeni siyo hivyo hakuna hesabu ya hivyo ulimwengu jibu hapo ni 16 kama amjui ulizeni kivipi2(2+2) ni kitu kimoja, yaani 2+2 ni coefficient ya 2. Hivyo ni lazina umalizane na biashara yote kabla haujahangaika na kugawanya.
Dhumuni la mabano ni kushikilia terms kama kitu kimoja (monomial). PEMDAS na BODMAS zote zinasema unaanza na mabano na ili ufungue mabano lazima utumie distrbutive law. Sasa mbona una violate hiyo law.Hivi ni mara ngapi nitawaelekezeni siyo hivyo hakuna hesabu ya hivyo ulimwengu jibu hapo ni 16
🍎=6🍎 = 6
🍌 = 3
🍉 = 4
4×(3×5)-6
4×15-6
60-6
54
10+15+20=45
Usibishane na mimi jomba wacha kucheza na magenius tulio shindikana sema nikufundishe hesabu kwa daraja ya juu msingi wenu wa kihesabu ni mbovu ndiyo maana mnashindwa kujua kuwa mnakosea ....nikosa kubwa sana kufanya hesabu kwa kukalili mfano bila shaka hata hii hesabu mtakosaDhumuni la mabano ni kushililia terms kama kitu kimoja (monomial
❌Dhumuni la mabano ni kushikilia terms kama kitu kimoja (monomial). PEMDAS na BODMAS zote zinasema unaanza na mabano na ili ufungue mabano lazima utumie distrbutive law. Sasa mbona una violate hiyo law.
9÷3(6x4÷8)Usibishane na mimi jomba wacha kucheza na magenius tulio shindikana sema nikufundishe hesabu kwa daraja ya juu msingi wenu wa kihesabu ni mbovu ndiyo maana mnashindwa kujua kuwa mnakosea ....nikosa kubwa sana kufanya hesabu kwa kukalili mfano bila shaka hata hii hesabu mtakosa
Jibu sahihi hapo ni A=9