Math challenge

Nipewe majibu tafadhari?

Fumbo la 1:​

Nina nambari tatu tofauti. Jumla ya nambari hizo ni 30. Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili, na nambari ya tatu ni nambari ya kwanza iliyopungua 6. Je, nambari hizo ni zipi?
 
X+ Y + Z =30....(1)

Y = 2X.......(2)

Z = X - 6......(3)

X + 2X + x -6 = 30

4x -6 =30
4x = 36

X= 9
Y =18
Z = 3
 
Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili😳😳(the first number is twice the seconnd number), I thought its 2x = y my man!
DAh, niliifuta ile comment.

Fikiria hivi... (x/2) = y, yaani nusu ya x sawa na y..
Hem malizia tyone majibu yako.
Majibu yake siyo natural numbers

Nambari ya kwanza = 14.4
Nambari ya pili = 7.2
Nambari ya tatu = 8.4
 
Nipewe majibu tafadhari?

Fumbo la 1:​

Nina nambari tatu tofauti. Jumla ya nambari hizo ni 30. Nambari ya kwanza ni mara mbili ya nambari ya pili, na nambari ya tatu ni nambari ya kwanza iliyopungua 6. Je, nambari hizo ni zipi?

2x + x + 2x -6 = 30
5x - 6 = 30
5x = 36
5x/5 = 36/5
X = 7.2

1. 14.4
2. 7.2
3. 8.4
 
Uzi wa vipanga
Artist tunachungulia na kutoka🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…