Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,213 Reaction score 80,127 Apr 24, 2025 #701 Lwiva said: Hata isingekuwa 0 mfano 10-2+4= jibu linakuwa 12 Click to expand... Ndiyo: -2 + 4 = 2 10 + 2 = 12.
Lwiva said: Hata isingekuwa 0 mfano 10-2+4= jibu linakuwa 12 Click to expand... Ndiyo: -2 + 4 = 2 10 + 2 = 12.
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,442 Reaction score 30,197 Apr 24, 2025 #702 Pyaar said: Mkuu, nafikiri ni kutokuwa makini tu, 0 ni sifuri tu either +ve or -ve. Tumekupata mkuu. Kwenye hesabu mbali ya kujua pia umakini unahitajika. Unaweza kuwa vizuri lakini kutokuwa makini kukakupoteza. Click to expand... Kuna hesabu ya pai sijui umeileta wewe imezua changamoto mimi nimesema ni (2×3.14×r)h watu wakabisha
Pyaar said: Mkuu, nafikiri ni kutokuwa makini tu, 0 ni sifuri tu either +ve or -ve. Tumekupata mkuu. Kwenye hesabu mbali ya kujua pia umakini unahitajika. Unaweza kuwa vizuri lakini kutokuwa makini kukakupoteza. Click to expand... Kuna hesabu ya pai sijui umeileta wewe imezua changamoto mimi nimesema ni (2×3.14×r)h watu wakabisha
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,308 Reaction score 3,108 Apr 24, 2025 #703 Mshana Jr said: Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415 Click to expand... equal to 23
Mshana Jr said: Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415 Click to expand... equal to 23
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,308 Reaction score 3,108 Apr 24, 2025 #704 Mshana Jr said: View attachment 3311439 Click to expand... Z equal to 25
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 365,144 Reaction score 843,194 Apr 24, 2025 Thread starter #705 Lwiva said: 24 chekechea 👶👶👶nipe heshima yangu Click to expand... Hahahaha
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,442 Reaction score 30,197 Apr 24, 2025 #706 Hata hapo kuna kosa japo jibu ni sahihi muvu yako inamakosa ...sipendagi kuonyesha kosa maana wengi wananionaga nawavuruga ila umekosea kitu. Pyaar said: Ndiyo: -2 + 4 = 2 10 + 2 = 12. Click to expand...
Hata hapo kuna kosa japo jibu ni sahihi muvu yako inamakosa ...sipendagi kuonyesha kosa maana wengi wananionaga nawavuruga ila umekosea kitu. Pyaar said: Ndiyo: -2 + 4 = 2 10 + 2 = 12. Click to expand...
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,442 Reaction score 30,197 Apr 24, 2025 #707 Mshana Jr said: Hahahaha Click to expand... Tatizo lenu atufikii conclusion...mkitoa hesabu baadae toeni na majibu
Mshana Jr said: Hahahaha Click to expand... Tatizo lenu atufikii conclusion...mkitoa hesabu baadae toeni na majibu
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,573 Reaction score 106,020 Apr 24, 2025 #708 Mshana Jr said: View attachment 3313801 Click to expand... Leta peni na karatasi.
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,202 Apr 24, 2025 #709 Mshana Jr said: View attachment 3313796 Click to expand... Jibu ni 9 ila halipo kwenye option ulizotoa.
Mshana Jr said: View attachment 3313796 Click to expand... Jibu ni 9 ila halipo kwenye option ulizotoa.
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,202 Apr 24, 2025 #710 Mshana Jr said: View attachment 3313797 Click to expand... 41
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,202 Apr 24, 2025 #711 Mshana Jr said: View attachment 3313798 Click to expand... You don't solve this, you compute. Anyhow the answer is one.
Mshana Jr said: View attachment 3313798 Click to expand... You don't solve this, you compute. Anyhow the answer is one.
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,202 Apr 24, 2025 #712 Mshana Jr said: View attachment 3313799 Click to expand... 1
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,856 Reaction score 22,202 Apr 24, 2025 #713 ERoni said: Very debatable, ila 1 is correct. Click to expand... Lwiva said: 9 Click to expand... Hakuna cha debate hapo, 2(3) ni kitu kimoja, siyo sawa na 2x3, hivyo presedency haitumiki. Ndiyo maana jibu sahihi ni 1
ERoni said: Very debatable, ila 1 is correct. Click to expand... Lwiva said: 9 Click to expand... Hakuna cha debate hapo, 2(3) ni kitu kimoja, siyo sawa na 2x3, hivyo presedency haitumiki. Ndiyo maana jibu sahihi ni 1
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 53,203 Reaction score 122,102 Apr 24, 2025 #714 Chamoto said: Hakuna cha debate hapo, 2(3) ni kitu kimoja na siyo sawa na 2x3, hivyo presedency haitumiki. Ndiyo maana jibu sahihi ni 1 Click to expand... Upo sahihi mkuu!!
Chamoto said: Hakuna cha debate hapo, 2(3) ni kitu kimoja na siyo sawa na 2x3, hivyo presedency haitumiki. Ndiyo maana jibu sahihi ni 1 Click to expand... Upo sahihi mkuu!!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 53,203 Reaction score 122,102 Apr 24, 2025 #715 Let's have this for lunch
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,213 Reaction score 80,127 Apr 24, 2025 #720 Lwiva said: Hata hapo kuna kosa japo jibu ni sahihi muvu yako inamakosa ...sipendagi kuonyesha kosa maana wengi wananionaga nawavuruga ila umekosea kitu. Click to expand... Sawa.
Lwiva said: Hata hapo kuna kosa japo jibu ni sahihi muvu yako inamakosa ...sipendagi kuonyesha kosa maana wengi wananionaga nawavuruga ila umekosea kitu. Click to expand... Sawa.