Walimu awajui kufundisha magazijuto wao wanadanganya kuwa una anza MABANO kisha GAWANYA kisha ZIDISHA kisha JUMLISHA kisha TOA wamemaliza kumba kuna vitu vya ziada hapo
Walimu awajui kufundisha magazi juto wao wanadanganya kuwa una anza MABANO kisha GAWANYA kisha JUMLISHA kisha TOA wamemaliza kumba kuna vitu vya ziada hapo
Unaona ilo jibu la 9 wanalo toa watu wengi ni kuto kujua (JUTO) yaani wao wanafuata muongozo wa walimu kuwa una JUMLISHA kisha ndiyo una TOA matokeo yake wana kosa jibu sahihi kwa kuandika 9
10-0+1= wao wana anza kujumlisha matokeo inakuwa 10-1 =9 ❌