synonym II
JF-Expert Member
- Nov 25, 2024
- 276
- 312
Sure, upo sahihi, hiyo 5 haipo ndani ya bano 60÷5(3) ni sawa na 5×3, ingelikuwa 60÷(5(3)) ningekuwa sahihiUmekosea ni kweli una anza kuondoa mabano ila ulichokosea ni kushindwa kujua mabano yamesha kwisha kwa ndani hiyo (3) imesha malizika mabano hapo ndipo ulipo kosea
Hahahahahaaaa😂View attachment 3311514
Bado siyo sahihi
Kumbe umeelewa nilijua utskuwa ubishi mwanzo mwisho ....mabano ya magazi juto yana husu equation ya ndani ya mabano tu ikisha malizika mabano yanakuwa nje ya kanuni ya magazi jutoSure, upo sahihi, hiyo 5 haipo ndani ya bano 60÷5(3) ni sawa na 5×3, ingelikuwa 60÷(5(3)) ningekuwa sahihi
👏
😂😂hahahaaaaqUmenichekesha kinoma yaani #bata = ambaruty 😂
Mlinganyo wa 1: kila ambaruty mmoja = 20
Mlinganyo wa 2: mayai matatu = 3, yaani kila yai 1 = 1
Mlinganyo wa 3: ndizi sita = 6, yaani kila ndizi 1 = 1
Mlinganyo wa 4: ambaruty = 20, mayai manne = 4, ndizi nne = 4, zingatia alama ya kuzidisha kati ya mayai na ndizi
Tatizo hizo hesabu za picha zinatupima hadi macho some time tunakosa kwa kutokuona vizuri imenibidi nitumie microscope au zoomAah mimi saivi medula iko kwenye auto mode😀
Si ndo hapo, nilishachochora, ni wenge 😂 au umri umeshaanza ... 😃Kumbe umeelewa nilijua utskuwa ubishi mwanzo mwisho ....mabano ya magazi juto yana husu equation ya ndani ya mabano tu ikisha malizika mabano yanakuwa nje ya kanuni ya magazi juto
19Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Hii ni 60. Sijaona km kuna ×Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Na hii ni 84