Mateso yangu

Unatoka tegeta kwenda kigamboni halafu kituo ubalozi wa ufaransa? Fiksi hii, kaombe kazi kwa shigongo hata hivyo tamu
 
U have said it all. Mtu akiku-criticize ndo unajua urekebishe wapi na wapi. Lakini akikucheka hakujengi na kwa mtu asiye na courage anaweza akakata tamaa kabisa. Sometimes Ukiona kilichopo ni ujinga, unaweza ukakiignore tu pia.
 
Unatoka tegeta kwenda kigamboni halafu kituo ubalozi wa ufaransa? Fiksi hii, kaombe kazi kwa shigongo hata hivyo tamu
Wataka useme hakuna kituo cha Ubalozi pale? Au umezoea wakati wa kwenda mwenge, tegeta ndio ubalozi na wakati wa kurudi jina la kituo linabadilika mkuu?
 
Hii tabia ya kupondea sijui imeanzia wapi, niliwahi kuargue na mtu eti ananiambia anaweza kutumia rep. power yake kuniombea ban, nikamwambia omba tu nitafungua ID nyingine Pumbavu
 
Wataka useme hakuna kituo cha Ubalozi pale? Au umezoea wakati wa kwenda mwenge, tegeta ndio ubalozi na wakati wa kurudi jina la kituo linabadilika mkuu?

Kituo hamna pale hata hivyo story tamu hii, leta episode 2 basi😉
 
U have said it all. Mtu akiku-criticize ndo unajua urekebishe wapi na wapi. Lakini akikucheka hakujengi na kwa mtu asiye na courage anaweza akakata tamaa kabisa. Sometimes Ukiona kilichopo ni ujinga, unaweza ukakiignore tu pia.

Yeah kuignore ni bora zaidi kuliko kejeli, ni vile watu hawajuagi tu how kejeli hurts haswa pale unapojaribu kupiga hatua, wengine huumia na kupoteza muelekeo kabisaaa, mrekebishe mtu then mpe moyo ili afanye vizuri zaidi, sasa tukikatishana tamaa hivyo jamani tutatoboa kweli, tupo duniani kusaidiana na sio kukanyagana.
 
Hii tabia ya kupondea sijui imeanzia wapi, niliwahi kuargue na mtu eti ananiambia anaweza kutumia rep. power yake kuniombea ban, nikamwambia omba tu nitafungua ID nyingine Pumbavu

Hujambo peterchoka? Ulipotelea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh! Usipende hela bwana, umesahau kaka mito alitupatia nasaha?

Eeeh huyu ni shemeji angu, hanihongi bana afu amenipa zawadi so nikaona kwa kuwa Nipo mbali... Bora hiyo zawadi ibadilishwe kuwa pesa niinunue huku huku. Sijaomba ila ni zawadi tu
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia ya kupondea sijui imeanzia wapi, niliwahi kuargue na mtu eti ananiambia anaweza kutumia rep. power yake kuniombea ban, nikamwambia omba tu nitafungua ID nyingine Pumbavu

mkuu kuna Watu wanajiona Miungu watu Humu
 
I hear you boss, umeongea kwa uchungu daaah.. It hurts lakini. Ila mwisho wa siku itabidi usimame tu na kufanya kile unachokiona ni sahihi kwako. Challenges kama hizo zinakufanya uwe strong zaidi. Endelea tu mbele labda yaje yakushinde mwenyewe ndo uamue kubwaga manyanga
 
..mimi sikugawani, nimekuwowa...U giv it to me coz u like it from me...teh teh..sijui nimepatia!!!!

Unaniongelesha kiinglishi wakati hata hela ya kwenda qt hutaki kunipa, mwenyewe kama umenitukana.
 
Eeeh huyu ni shemeji angu, hanihongi bana afu amenipa zawadi so nikaona kwa kuwa Nipo mbali... Bora hiyo zawadi ibadilishwe kuwa pesa niinunue huku huku. Sijaomba ila ni zawadi tu

Kwakweli hata mimi nimeona haujaomba ni zawadi tu, teh teh teh.
 
Nashukuru Mungu mie mtu hawezi kunikatisha tamaa kwa kile ambacho nimeamua kwa dhati kukifanya, ila kuna ambao huwa wanayumba na kupoteza muelekeo kabisaaa. Si unajua watu hatufanani, mie ukikejeli ndio unanipa moto wa kufanya vizuri zaidi ili nikuprove wrong.
 
That's the spirit sweetheart. Sio kila mtu atapenda unachofanya na sio kila mtu atasupport unachofanya. Jitambue na ujue ni nini unataka kwa ajili yako period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…