Mateso ninayoyapitia baada ya kuachana na mpenzi wangu, nifanye nini nimsahau?

Hahaha umepatia.. sheria ni ndogo, ukishaona mahusiano hayaeleweki muwahi wewe Kumuacha

Aki ya mama bora kuacha,,, kuliko uachwe .

Hapa nimuhim sana Kucheza na Muda.... kuna point ikifikia huwa nilazima mapenzi yavunjike, usilazimishe kuyatengeneza ,utatumia rasilimali nyingine, bado yatavunjika na utateseka kwa sababu rasilimali zako.
Uanaume ni kung'ang'ana. Haya mambo ya kuacha mtu kisa umeona dalili utafika ule mwaka wa ukame haupati magoma na goma lililo karibu ndiyo ulikimbilia kuliacha
 
Hahahaha aiseee utapata tabu sana, hisia za mapenzi ni Hisia za ajabu sanaaa na kipekeee , Ukijifanya kuzilazimisha utaishia kua namaisha ya ajabu.

Unampenda ??? Let her go .... is the best way to go.. kama anakuhitaji maishan mwake nizamu yake kurudi kwako, kama hakukubali hata upambane vipi, hata iwe ruba , hata umkoshe na mazawadi, hata ujitahidi kumpa muda wako, Hata hata hataaaaaaa .. hatokaa kabisa kabisa kukuelewa.

Sasa nn maana?? Kutumia miezi mwaka et unakomaa

HUO NI UWENDAWAZIMU WA KUJIZIBIA FURSA MAHALI FULANI AMBAPO KUNA MDADA ANAKUPENDAAAAA SANAAAAA.
Uanaume ni kung'ang'ana. Haya mambo ya kuacha mtu kisa umeona dalili utafika ule mwaka wa ukame haupati magoma na goma lililo karibu ndiyo ulikimbilia kuliacha
 
Sasa hivi mtajikunja kutoa ushauri ila yeye atakuwa anawaona kama mafala tu. Atasoma ushauri wenu hapa halafu akimaliza kuusoma huyo anaanza kulia tena pamoja na kupiga simu kubembeleza. Mahomoni na makemikali yote mwilini ni vurugu tupu.

Mwacheni kwanza mpaka hisia na makemikali yatakapotulia aanze kuwaza rationally ndiyo ushauri wenu utaanza kuwa na impact

Tatizo lake nae hakomi kushea kila linaloendelea, kwa mfano mimi huwa nna uthubutu wa kuweka jambo nikishalivuka kabisa, liwe na matokeo hasi au chanya ni sawa kwangu. Nafanya hvyo kwasababu najua nikilileta kwa wengi sitokuwa na uamuzi mmoja na mwsho wa siku nikifikia maamuzi ya mwsho yanaweza yasiwe sahihi na yakanidhuru zaidi badala ya kunisaidia.

Mleta bandiko ni muhimu ajizuie kuweka hali ya matukio yanayoendelea kwa sasa maana kila mtu anashauri kwa anavyoona inafaa yeye na kama ndio hawezi kuchanganya ya kuambiwa na yakwake basi atazidi tu kuumia.

Kuna watakaomshauri ushauri ushauri wenye ukweli mchungu na ataona kuwa hastaili kuendelea kuwa na huyo dada na pia kuna watakaomshauri ushauri ambao utamfariji aone haja ya kuendelea kumtafuta na kumlilia huyo dada hakika ni maumivu makali. Ila hisia mbaya sana wakuu hasa ukipenda kweli.
 
Ndio vinini hivyo
I swear hata wewe inabidi uje.

Pes ni kifupi cha pro evolution soccer hiyo 20 inamaanisha ni game ya 2020, ps 4 ni kifupi cha Play Station 4, ni game ambalo ni advanced kuliko yote ya jamii yake.

Hivyo ni game la mpira ambalo linachezwa kwenye PS4
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    51.4 KB · Views: 1
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    9.4 KB · Views: 1
Hahahaha aiseee utapata tabu sana, hisia za mapenzi ni Hisia za ajabu sanaaa na kipekeee , Ukijifanya kuzilazimisha utaishia kua namaisha ya ajabu.

Unampenda ??? Let her go .... is the best way to go.. kama anakuhitaji maishan mwake nizamu yake kurudi kwako, kama hakukubali hata upambane vipi, hata iwe ruba , hata umkoshe na mazawadi, hata ujitahidi kumpa muda wako, Hata hata hataaaaaaa .. hatokaa kabisa kabisa kukuelewa.

Sasa nn maana?? Kutumia miezi mwaka et unakomaa

HUO NI UWENDAWAZIMU WA KUJIZIBIA FURSA MAHALI FULANI AMBAPO KUNA MDADA ANAKUPENDAAAAA SANAAAAA.
Tembea na ideology ya 'lose a battle to win a war' hua siachi hadi war niishinde
 
Hahaha mfano mzuri ni mtoa mada, kaacha yeye alafu kaumia yeye.

Maana yake, Hakua na mwanamke mwengine

Maamuzi yake yalikua ni yakujadiliana kila siku... akampa Nafasi demu yakujiona Keki na anayependwa.

Kaacha, Demu kakomaa hamtafuti sasa jamaa analialia

Huo ni utopolo km ilivo timu ya Yanga....

Binafsi, niliweke sawa hili, Moja ya sheria yangu ni "Mimi kwanza yaan kujipendelea mimi kwanza" ... huwa sipendi kuruhusu mtu wa pili kua sehem ya maumivu yangu kila siku, kwa kusema ivo namaanisha ivi, Mimi ni mwepesi wa kukata tamaa , situmii muda mwingi kuwazia kutatua mambo km haya, kwaiyo kuacha eti niumie??? Nadhani nitakua mwanaume wa mwisho Duniani.

Kubwa kuliko yote, Ukiwa na uhakika wa mahusiano mapya, muda wowote , Hutakaa utumie asilimia kubwa ya maisha yako kulilia ujinga mwezi, miezi 3...5..7..8 .. unatafuta nn???? maisha lazima yasonge, na utalazimika tu kua na mwanamke mwengine.
Hivi unajua unaweza ukaacha wewe na bado ukaumia kuliko aliyeachwa
 
I swear hata wewe inabidi uje.

Pes ni kifupi cha pro evolution soccer hiyo 20 inamaanisha ni game ya 2020, ps 4 ni kifupi cha Play Station 4, ni game ambalo ni advanced kuliko yote ya jamii yake.

Hivyo ni game la mpira ambalo linachezwa kwenye PS4

Kwa style hii stress zisipokata itabidi akamloge tu Haitokuwa dhambi PS5 ipo njiani acha watuache tu
 
Sasa hivi mtajikunja kutoa ushauri ila yeye atakuwa anawaona kama mafala tu. Atasoma ushauri wenu hapa halafu akimaliza kuusoma huyo anaanza kulia tena pamoja na kupiga simu kubembeleza. Mahomoni na makemikali yote mwilini ni vurugu tupu.

Mwacheni kwanza mpaka hisia na makemikali yatakapotulia aanze kuwaza rationally ndiyo ushauri wenu utaanza kuwa na impact
, naziona kamasi zinavyomtoka jamaaa ..

Baby baby pokea simuuu haha missed calls zaidi ya 40, msg 68...

Nikm ambavyo Shilole atarudiana na Uchebe???? .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom