Mateso ninayoyapitia baada ya kuachana na mpenzi wangu, nifanye nini nimsahau?

Hahaha umepatia.. sheria ni ndogo, ukishaona mahusiano hayaeleweki muwahi wewe Kumuacha

Aki ya mama bora kuacha,,, kuliko uachwe .

Hapa nimuhim sana Kucheza na Muda.... kuna point ikifikia huwa nilazima mapenzi yavunjike, usilazimishe kuyatengeneza ,utatumia rasilimali nyingine, bado yatavunjika na utateseka kwa sababu rasilimali zako.
Hii nzuri nimeitumia imenisaidia sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom