Mateso ninayoyapitia baada ya kuachana na mpenzi wangu, nifanye nini nimsahau?

Kinachouma zaidi unaweza kuta hayo maumivu unayofeel right now upande wa pili your Ex ana enjoy life with her new bae, she doesn't even remember if you're existing, Love yourself man, life is too short.

The bottom line, Tafuta pesa man, ukiwa na pesa hata maumivu ya kuachwa hayalast mda mrefu.
 
Pole sana inatokeaga sana,hio hali itaisha ukija kujikubali kuwa unastahili kilichobora zaidi ya huyo manzi aliekua akikutesaa....

You will be healed soon,umia kwasasa kwasababu ya mawazo lakini njia hio itakupeleka katika uhuru wa nafsi yako na kuendelea kufurahia maisha...

Maisha bila mapenzi yanawezekana ukiwa single hufiii ndugu,japo matamanio yatabaki pale pale...

Pumzisha moyo wako kwanza mkuu,jishughulishe,jichanganye na watu,fanya mazoezii,ule upendo uliokua ukimpa Huyo manzi urejeshe kwako,jipende,kula vizur,vaa vizuriiii,tafuta hela watakuja wengine wazur na wakali kuliko huyo uliemuacha!!!
Sasa hivi mtajikunja kutoa ushauri ila yeye atakuwa anawaona kama mafala tu. Atasoma ushauri wenu hapa halafu akimaliza kuusoma huyo anaanza kulia tena pamoja na kupiga simu kubembeleza. Mahomoni na makemikali yote mwilini ni vurugu tupu.

Mwacheni kwanza mpaka hisia na makemikali yatakapotulia aanze kuwaza rationally ndiyo ushauri wenu utaanza kuwa na impact
 
Jamaa Jitahidi sana Kunywa maji safi na salama ya kutoshaa kunywa majiii ,maji husambaratisha mawazo haraka .

Usinywe Pombe, mlevi ni mshenzi tu, ndo maana , Anakunywa pombe sababu Kaachwa na mke, alafu kesho yake akiamka asubuhi ana mawazo utadhan kafiwa.

Toka njeee, Zunguka ,tembeaa tembeaa, shangaaa Uumbaji wa Mungu, Ongea sanaaaaaaaaaaa na wana.

Punguza masaa yakua pekeako yaan muda mchache uwe wako mwenyewe ila mwingine uutumie ukiwa bize na wana wana kitaan, kazin au wapi.


jitahidi kuuchosha mwili wako lisaa limoja kabla ya kupanda kitandan..

Kwa usingizi wa haraka Lalia tumboo yaan tumbo na kifua vitizame godoro.


Muda utakavyosonga, utapona ......


Acha kujiendekeza, ikumbuke kua, Maishan mwako kabla hujafa, Unaweza kutana na Soulmates zaid ya Buku .


Jiamin
 
Mimi siwezi eti
I win
802a5158-6630-4a87-a975-456325358774.gif
 
Hahaha umepatia.. sheria ni ndogo, ukishaona mahusiano hayaeleweki muwahi wewe Kumuacha

Aki ya mama bora kuacha,,, kuliko uachwe .

Hapa nimuhim sana Kucheza na Muda.... kuna point ikifikia huwa nilazima mapenzi yavunjike, usilazimishe kuyatengeneza ,utatumia rasilimali nyingine, bado yatavunjika na utateseka kwa sababu rasilimali zako.
Kuachwa kuachwa kuachwa...kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi kwa yule uliyempenda..yeye ananenepa we unakonda kwa mawazo....sijui nimepatia
 
Hahaha umepatia.. sheria ni ndogo, ukishaona mahusiano hayaeleweki muwahi wewe Kumuacha

Aki ya mama bora kuacha,,, kuliko uachwe .

Hapa nimuhim sana Kucheza na Muda.... kuna point ikifikia huwa nilazima mapenzi yavunjike, usilazimishe kuyatengeneza ,utatumia rasilimali nyingine, bado yatavunjika na utateseka kwa sababu rasilimali zako.
Hivi unajua unaweza ukaacha wewe na bado ukaumia kuliko aliyeachwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom