Mkuu kwanza pole sana ila nikutoe wasiwasi kwakuwa baada ya kukojoa huwa una uwezo wa kurudia gemu basi tatizo si kubwa.
Kwanza mi si Daktari ila natumia uzoefu kukushauri.
Umekiri Huna hofu na wanawake na pia huioni mbususu kama kitu adhimu. Hii ni nzuri sana na inatuacha na dhana mbili tu kueleza tatizo lako.
Moja, Ngozi ya Uume wako ni laini sana, ina’sense’ kila athari ya msuguano.
Mbili, Ubongo wako unapokea taarifa za utamu ulozidi.
AU ZOTE KWA PAMOJA.
Hapo tatizo ni Utamu kaka

yaani unausikia utamu wenyewe kabisa sababu ngozi ya uume bado laini haijaguswa kwa kuchukua sheria mkononi wala haijasugua sana kuta za uke, chochote kinachohusika na utamu pale Uumeni kinafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu sana.
Cha kushauri,
1. Piga Puli-tiba.
Yes, puli lina madhara, na ukweli ni kwamba ‘an excess of anything is harmful’. Sukari tamu ila ukiila sana utaumwa, vivyo hivyo kwa puli... mara moja moja ni sawa. Na hii itasaidia walau kuikomaza kidogo ngozi ya uume ili ishindwe kuwa ‘sensitive’ sana kiasi isikie kila utamu.... zoezi hili likifanikiwa mzee utaanza chelewa kojoa.
Lakini Puli hili mkuu usipige kwa kutazama Video zetu zile, laa, lipige kwa ‘imagination’ tu. Maana ukitumia zile video utasababisha matatizo mengine.
2. Badili ‘psychology’
Hapa mkuu wakati wa kuiteketeza amri ya sita jitahidi mawazo yako uyaweke mbali na mchezo. Yani upo juu ya kifua ila kichwani waza watu wanaokudai au unaowadai, waza mpira, waza kazi au biashara au chochote tofauti na ‘moment’ ile ya maraha ulokuwa nayo.
Hii itasaidia ku-distract ubongo kutoka kwenye kuchakata taarifa za mautamu zinazopokewa toka uumeni hivyo kuufanya uchelewe kutuma amri ya kumwaga.
Konfidensi Konfidensi Konfidensi... mbali na tatizo lako hii silaha muhimu usiiache. Namna nzuri ya kuitumia ni kusex na msichana unaemuamini na muelewa maana upo ktk kipindi cha mpito.
All the best mkuu.