Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

Kitu ambacho si elewi we unataka ufanye ngono hadi lisaa kitu ambacho viumbe hai havijapewa huo uwezo.

Huko sawa wachana na video za ngono fanya kwa nafasi yako. Ukikojoa ndani ya sekunde mbili zinakutosha. Sema mnajitahidi wakati wa ngono mnapima hadi sekunde ulizotumia ahahahaha.
 
Salaam wakuu

Hii ni stori yangu ya kweli kuhusu jambo linalonitesa na kuniumiza kwa muda wa mrefu sasa. Nitaweka kila kitu wazi katika angle zote ili niweze kupata msaada. Tafadhali sana, naomba kwa yeyote atakayeweza kunipa mawazo ya kunisaidia asisite kufanya hivyo. Natanguliza shukrani zangu za dhati. Sasa twende moja kwa moja kwenye Mada. Tatizo langu hasa ni UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka chini ya 30. Mkasa wangu unaanzia mbali sana wakati nasoma shule ya sekondari. Mimi ni mmoja wa wale vijana ambao aibu ilikuwa inatutawala na tulichelewa sana kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi licha ya mara kwa mara kuwa na tamaa za kimwili kama binadamu wengine.

Kama nilivosema awali, nilichelewa kujihusisha na mapenzi sio kwamba sikuwa na matamanio, bali ni uamuzi wangu binafsi niliokuwa nao. Katika kipindi chote hicho, kuna mambo yaliyokuwa yananitokea ambayo nilikuwa nayaona ni kawaida tu. Mfano, unajikuta labda uko kwenye mziki unacheza na binti yupo mbele yako. Katika hali ya kucheza nae unashangaa umepata msisimko wa ajabu na kujikuta ukijipiga bao. Hii hali ilikuwa ikinitokea lakini sikushituka kwasababu nilihisi kabisa labda kwakuwa sijawahi kushiriki tendo la ndoa, basi vile vitu vinakuwa vimejaa sana. Nilikuwa nachukulia kawaida. Mfano wa pili ni ile hali inakutokea upo kwenye mtihani au unafanya shughuli yoyote ya haraka na muhimu. Mara ghafla unaambiwa muda umekaribia kuisha. Unajikuta napata msisimko wa hatari na kujipiga bao. Hii ilinitokea huko nyuma wala sikujali kwa sababu niliamini chupa kimejaa kwa sababu sijawahi shiriki tendo la ndoa.

Lini sasa niligundua kuwa nina tatizo?

Baada ya kumaliza kidato cha sita nikiwa na miaka 22, hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kushiriki tendo la ndoa. Kabla ya hapo sikuwahi kushiriki tendo hilo na wala sikuwahi kuwa na hofu yoyote juu ya tendo hilo wala upungufu wa nguvu kwasababu sikuwahi kuona weakness yoyote kwenye mwili wangu.

Naikumbuka jioni moja ya mwezi Mei miaka 7 iliyopita. Nilikuwa na miadi na mtoto ambaye nilikuwa kwenye mahusiano naye. Ile tumefika guest, shauku ikawa juu sana na katika kuandaana pale pale nikajikuta namwaga...kabla hata sija penetrate. Ile hali ilinishangaza sana kuona uumea umesinyaa na kuwa kama wa mtoto. Nikajiuliza kwa kupanic hiki ni nini? Kwasababu sikuwahi kuelewa chochote kuhusu kujamiiana na wala sikujua kama halia ya kusinyaa uume huwa inatokea kwahiyo nilipanic. Mtoto alikuwa mzoefu hivyo alinituliza pale na kuniambia ni hali ya kawaida. Basi shughuli ikawa imeishia pale. 15k yangu ya chumba ikapotea.

Nakumbuka siku ile sikulala vizuri. Nilikuwa na mawazo sana na niliwaza maisha yangu yatakuwaje kama niko vile. Mtoto aliendelea kunifariji na kunipa moyo na maisha yakaendelea.

Baada ya pale niliendelea na mahusiano na yule binti. Na tulikutana kimwili mara kwa mara. Lakini katika mara zote nilizokutana nae bado bao la kwanza lilikuwa linanitoka hata kabla sijamuingia. Ni ile katika kupeana romance na maandalizi najikuta nimemwaga. Nakaa muda wa dakika kadhaa uume unasimama na najaribu kupenetrate ila simalizi dakika namwaga. Sio kwa raundi ya pili au ya tatu. Sijawahi kuzidi sekunde 30. Siujui huo utamu na inaniumiza sana

Kama walivyowanaume wengi, matamanio ni maisha yetu. Hivyo nilikuwa na mahusiano na mabinti wengine pia. Lakini kote huko niliishia kuumbuka. Nikijitahidi sana basi lile bao la kwanza litakuja baada ya kupiga takle mbili tatu. Na hapo nafanya bila kumuandaa mwenza wangu maana nikisema nimuandae tu namwaga hata kabla sijavua nguo. Ni mateso sana. Naumia na inaitesa sana hii hali.

Kiufupi sijawahi kufurahia sex. Kwangu mimi kwenda dakika moja bila kumwaga ni muujiza sana achilia mbali kwenda nusu saa. Sijawahi kuzidi sekunde 30. Sio kwa bao la kwanza, la pili au mia moja. Inaniumiza sana.

Napata hamu ya ngono ila sina uwezo wa kufanya ngono. Huniumiza sana kimoyomoyo nikikaa na wenzangu wakiwa wanafurahia faragha zao. Natamani wangejua mateso ninayopitia kijana mwenzao. Nina kila kitu ila sina furaha ya mapenzi. Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa nipo katika age anbayo natakiwa kuwa na familia. Kuna binti nampenda sana, nayeye ameonesha kunipenda ila huwa namkimbia. Sitaki kuaibika. Hata kununua malaya siwezi kwasababu nisawa na nitapoteza hela yangu bure. Kuperform chini ya nusu dakika ni zaidi ya showtime. Ni fedheha na maumivu makubwa sana.

NB:
1. Asilimia kubwa ya maisha yangu nimekulia mkoani ambako vyakula vya asili ndio vyakula vyetu. Maisha yangu hayana uzungu kusema labda aina ya vyakula ninavyokula.

2. Katika maisha yangu sijawahi kujichua.

3. Mi ni kijana ninaecheza soka. Kwahiyo mazoezi yamekuwa ni sehemu ya maisha yangu toka enzi hizo.

4. Sidhani kama ni swala la kisaikolojia maana kama confidence ninayo. Siku ya kwanza nakutana na mwanamke nilikuwa niko sawa kimwili na kiakili. Sikuwa na hofu yoyote. Hata baada ya yaliyotokea. Yalinitesa mwanzoni ila badae nikajijenga kisaikolojia na kujiamini lakini bado.

5. Katika kukua kwangu nimesumbuliwa sana na gesi tumboni. Nimekuwa mbovu wa tumbo toka enzi za utoto.

6. Kipindi fulani cha maisha yangu nilikuwa na fungus sehemu za siri kwa muda mrefu sana.

7. Hadi leo bado nateswa na wet dreams, kuna muda hata bila kuota naamka najikuta nimechafuka.

8. Kuna muda uume wangu unasinyaaa na kuwa mdogo sana kama wa mtoto wa primary. Ila kikawaida nikiwa katika full erection, uume wangu ni inch 6.

9. Nina hisia zote za kimwili. Inshu kubwa ni perforamce. Naweza nikiwa nimekutana na mwanamke namtongoza au mtoto yeyote mzuri ambaye sijamuweka katika kundi la marafiki. Basi huwa nasimamisha uume. Niko active sana. Mtu akiniona anaweza sema huyu jamaa hatari maana uume unasimama active sana ila kimbembe nikifika room. Nusu dakika haizidi. Hiyo ni kwa kila round.

10. Sijawahi tumia mkongo wala viagra.

Nimeweka NB hapo juu ili kwa mtu mwenye nia ya dhati ya kunishauri aweze kujua kila kitu na kuondoa assumptions. Niliwahi kumfungukia baba yangu mzazi ambae hadi leo anaumia kwa ajili yangu. Amepambana sana kwa ajili yangu lakini bado. Anaumia sana kama mzazi.

Imefikia hatua nimekata tamaa ya kupona. Sielewi tatizo ni nini. Mateso ninayopitia ni zaidi ya kusimulia. Najua kwa mwanamme yeyote anajua thamani ya uanaume wake. Kwangu mimi ni tofauti.

Naumia, nateseka na ninahangaika sana. Nimekuja kwenu nikiamini kwenye wengi kuna mengi. Naomba kwa yeyote mwenye kuwa na mawazo namkaribisha sana.

Mimi ni binadamu ambaye sijapenda kuwa hivi. Kwa yeyote atakaekuja na comments za kejeli na dharau ajue kabisa kuwa zitaniumiza na kunipa machungu sana kwasababu sikuchagua kuwa katika hii hali. Najua watu wa aina hiyo hawakosekani ila ni vema tu ukihisi unataka kunikejeli ufikirie mara mbili kabla ya kuniumiza kwa maneno ya dhihaka. Mpaka nakuja hapa nimefikia kiwango cha mwisho cha kukata tamaa. Sihitaji kingine zaidi ya msaada na faraja. Nitawasamehe wote watakaonidhihaki ila sitawasahau kwa jinsi watakavyokuwa wameniumiza sana.

Ndugu zanguni, hili tatizo lisikie kwa mwingine. Ni tatizo kubwa sana. Linatesa na kuumiza sana. Watu wana familia zao, wana mademu zao na wanaenjoy maisha yao ila nipo mimi ambaye kwa nje ni furaha ila kwa ndani ni huzuni kubwa sana. Sio uongo, ni kweli nakimbia wanawake. Nakimbia kuficha aibu yangu. Sifurahii hii hali ila nitafanyaje???

Naamini panapo uhai nitarudi na ushuhuda wa kupona hapa mbele yenu. Imani hiyo ni kubwa sana. Karibuni sana kwa msaada ndugu zangu.
Pole sana mkuu.
Nakuelewa sana. Kuna tiba nitakupa bure kabisa.
Nunua asali ile ya nyuki wadogo ya lita moja, halafu nunua na vitunguu swaumu punje za kutosha kujaza mkono wako. Chukua na tangawizi punje kubwa tatu.
Changanya vitunguu swaumu na tangawizi kisha uziblend pamoja.
Baada ya hapo, changanya mchanganyiko huo na asali yako uliyonunua ya nyuki wadogo lita moja. Kwenye mchanganyiko huo pia ongezea unga wa mdalasini. Tikisa mchanganyiko huo hadi uchangamane vizuri.
Tumia mchanganyiko huo kwa kunywa vijiko viwili vya chakula mara tatu kwa siku (asubuhi, mchana, na jioni), kwa muda wa wiki tatu.
Utaona matokeo, na ulete mrejesho hapa.
 
Huna tatizo wewe! Utamu gani unaoutaka ss, kama hujawahi kuhisi huo utamu unauhakika gani kama upo? Wewe ni wewe, jikubali, jiamini na acha kusikiliza watu wengine.
 
Kitu ambacho si elewi we unataka ufanye ngono hadi lisaa kitu ambacho viumbe hai havijapewa huo uwezo.

Huko sawa wachana na video za ngono fanya kwa nafasi yako. Ukikojoa ndani ya sekunde mbili zinakutosha. Sema mnajitahidi wakati wa ngono mnapima hadi sekunde ulizotumia ahahahaha.
Hahaaa wanakua na stop watch,anarecord mwanzo wa mchezo mpaka mwisho wa mchezo
 
Kama mashine inasimama usiwe na wasi wasi utakaa sawa tu kadri ya muda....! Usikimbie wanawake uwe unawapelekea moto hivyo hivyo tu
 
Iyo no 4 iyo. iyo no 4 . Matatizo mengi uanzia hapo na kukamia game sikufichi kuondoa iyo hofu sio rahisi inaitaji mwanamke anae kuelewa zaidi .afu achana na izo story za vijana wa kijiweni nyingi ni chumvi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usually sichangii mada kama hizi lakini ngoja nitoe hypothesis ambayo ni provable scientifically kwa asilimia kadhaa.

Kwenye maisha yako ulifanya kosa moja tu ambalo ni kutotumia au kuseize opportunity pale inapopatikana bila kupoteza muda.
Kipindi kile ambacho unaanza kukua na kuanza kuwa na hisia za kibinadamu ndicho kipindi hichohicho ulichotakiwa kuanza hizo shughuli.
Sababu pale ndio unakuwa unaanza hivyo unakuwa in your prime and get used to it.

Ulichokifanya ni kama kusubiri ufike miaka 70 kama biden alafu uanze kuingia gym kunyanyua vyuma na kujenga mwili alafu utegemee upate matokeo sawasawa na kijana mwenye miaka 18.

Mkuu hata kama kipindi hicho ulikuwa huna access na natural flowers, hukutakiwa kuacha kutumia hiyo opportunity kivyovyote vile sababu huo ndio ulikuwa muda sahihi wa kuanza kuzoea na kuona kitu cha kawaida kisicho na maajabu yoyote.
Achana na kwamba hujazoea wanawake, hili sio tatizo hapa.

Mimi siamini kama kuna mwanaume kamili ambaye hajawahi pita huko hata kwa mwaka badala kusubiria wet dreams zimsaidie.
Ubongo wako umezoea na kuwa wired kumaliza kazi mentally sababu hakuna namna yoyote ya kumaliza kazi physical, hivyo umekuwa wired namna hiyo.
Namba mbili ingeondoa kabisa hizo wet dreams na wala usingekuwa unatishika ukiona natural flower kwa mbali, well sababu ulishazoea kufanya kazi physical.

Naturally binadamu hatakiwi kuwa na nocturnal emission au wet dreams sababu lengo kuu la sex ni kufanya reproduction. bali wet dreams ni kama dharula tu ili kupunguza wingi wa sperms zisizo na kazi lakini biologically unatakiwa kuondoa sperms kwa kufanya sex physical sababu hiyo ndio njia pekee ya kufanya reproduction.

Nimeandika kwa fasihi lakini kosa ulilofanya ni namba mbili, hapo ndipo ulipokosea kama una mengine sawa lakini hapo panachangia pakubwa.
This is a psychological problem you should rewire your brain again.
 
Kwenye maisha yako ulifanya kosa moja tu ambalo ni kutotumia au kuseize opportunity pale inapopatikana bila kupoteza muda.
Kipindi kile ambacho unaanza kukua na kuanza kuwa na hisia za kibinadamu ndicho kipindi hichohicho ulichotakiwa
Nimekupata mkuu na nashukuru sana.
 
Kwenye maisha yako ulifanya kosa moja tu ambalo ni kutotumia au kuseize opportunity pale inapopatikana bila kupoteza muda.
Kipindi kile ambacho unaanza kukua na kuanza kuwa na hisia za kibinadamu ndicho kipindi hichohicho ulichotakiwa
Nimekupata mkuu na nashukuru sana.
 
Acha papara mzee,,, Bado unahitaji kuwazoea wanawake.... Waone kama ni kitu cha kawaida...
 
Salaam wakuu

Hii ni stori yangu ya kweli kuhusu jambo linalonitesa na kuniumiza kwa muda wa mrefu sasa. Nitaweka kila kitu wazi katika angle zote ili niweze kupata msaada. Tafadhali sana, naomba kwa yeyote atakayeweza kunipa mawazo ya kunisaidia
Pole sana ila nikurekebishe hapa sio kwamba haupati raha ya kufanya mapenzi maaa raha ya mapenzi kwa mwanaume ni kumwaga yaani ule utam ukiwa unaachia bao ndio burudani kwako kitu ambacho pia na wewe unakipata, mambo mengine ni mbwembwe tu yaani ni furaha physical yaani unafurahi ile unaona umemkunja mwanamke unaempenda.

Ile unaskia anagugumia na kutoa sauti za mahaba anavyojinyonga nyonga ndio furaha ambayo pengine unakosa Ila ule utam wenyewe kwa mwanaume unapatikana wakati unamwaga tu, pia pengine hauna tatzo lolote kibaya umeshajijengea kisaikolojia kuwa uko hivyo tangu day one kwa hiyo kila ukikutana na mwanamke unakuta ndani ya nafsi yako tayari unamajibu ya mchezo kwa hiyo unachofanya ni kwenda kukamilisha tu ratiba ambayo tayari ushaipanga kichwani.

Ushauri usitumie pesa yako kwenda kununua dawa za nguvu za kiume UTAPIGWA, NARUDIA TENA UTAPIGWA HAKUNA KITU KAMA HIYO, nakupa akili ya ziada utanikumbuka Siku ukipata mwanamke hakikisha unakunywa pombe, na sio unywe pombe hakikisha unalewa ili pombe ikusaidie kuondoa mawazo ambayo yamejijenga kichwani mwako ambayo hukuletea matokeo katika tendo hakikisha umelewa haswa alafu anza shoo, ukishinda niletee pesa yangu PM ambayo ungetumia kununua dawa za wapigaji.
 
Kwa maelezo yako yote mawazo yangu yanaelekea katika ulimwengu wa kiroho. Nahisi una mke wa kijini ambaye ndiye anayesababisha hiyo hali maana ndio huwafanya wanaume hivyo. Kumbuka ulishachukua hatua ya kwenda hospitali, pia kuuweka mwili fresh kimazoezi but you never took a spiritual step against the situation you're going through. It's your big n right time now buddy
 
Unapokuwa na mpenzi wako, jaribu kuhamisha mawazo, hii itakusaidia. Kwa mfano wakati unaingiza kitendea kazi chako, jaribu kuwaza kule kwenu mzee amepigwa na nondo kichwani, huku ukiendelea ku-pump. Fanya hivyo hivyo baadaye utazoea
 
Back
Top Bottom