Toka ukijisahau ntakukumusha mamiiNdo maana mm naogopa sana ,nicije nikatoka nikashindwa kurudi kwangu tena
Anaweza kupiga picha akiwa kavaa nguo ya heshima tu na akapendeza cyo lazima ajiachieeSijui mimi ndo mshamba, siwezi mruhusu mke wangu akafanye huu ujinga. Afanye kwa siri, nisijue na hizo picha nisiwahi ziona hadi siku nikate moto.
Kweri vile mamii kwann Hutak kuniamin kama ntakukumbusha....!!![emoji23][emoji23]Never ever
Kwasasa ishakuwa kawaida tu,Inabidi tuzoee na miaka ijayo itakuwa kama jambo la lazima vileKwa mfumo wa maisha yetu sisi waafrika, kupiga picha kipindi cha ujauzito ni kukosa maadili km si kupungukiwa maarifa. Dada zetu msijitoe ufahamu kwa mambo ya kuiga jaman!!!
Mh, Mke wangu akifanya hivyo nampa talaka kama zote yani!Kwasasa ishakuwa kawaida tu,Inabidi tuzoee na miaka ijayo itakuwa kama jambo la lazima vile