Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
Kupiga picha maalum wakati wa ujauzito sidhani kama ulikuwa utamaduni wetu hapo zaman ,binafsi mama yangu alitakaga kupiga picha ya kawaida tu wakati ule wapiga picha wanapita majumbani ila bibi angu alimkataza,sikumbuki kwann alimkataza
Miaka hii upigaji picha umeshamiri kila msicha sikuiz anataka kupiga picha akiwa mjamzito kwa ajili ya kumbukumbu hapo baadae,
Kila Mtu anachaguo lake ,wako wanaopenda kuacha tumbo nje na wengine huacha miili yao mitupu kabisaaa
Lakini pia wapo wanaopiga picha wakiwa wamevaa kawaida tu nawanapendeza
Mfano hawa
View attachment 963271
View attachment 963273