Maternity leave | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maternity leave

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by dazu, Mar 1, 2011.

 1. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa sheria, mfanyakazi akipata ujauzito anaenda likizo ya uzazi (maternity leave) kwa siku 84, je ikitokea bahati mbaya baada au wakati wa kujifungua mtoto akafariki bado ataendelea na likizo yake ya uzazi?
   
 2. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nafikiri kipengele kidogo cha 7 cha kipengele cha 33 katika Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, 2004 kinajibu swali lako kuhusu jambo hili. Ukisoma kipengele chote cha 33 ukifika kipengele kidogo cha 7 kinasema hivi kwa Kiingereza:

  "(7) Notwithstanding the provisions subsection (6)(a), an employee is
  entitled to an additional 84 days paid maternity leave within the leave
  cycle if the child dies within a year of birth."

  Ingawa inasemwa within a year of birth, nafikiri wasomi wenzangu wanaweza wakafafanua zaidi kama hiyo phrase inahusu pia kifo cha mtoto wakati wa kuzaliwa. I submit.
   
 3. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  naomba muongozo, hivi hawa house girls wanalindwa kisheria hapa Tanzania? na ikitokea akapata ujauzito akiwa kazini sheria inasemaje?
   
 4. d

  daisy Senior Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  To my understanding the words "within a year of birth" includes the first day when a child is born.


   
 5. d

  daisy Senior Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Housegirl/houseboy or mfanyakazi yoyote wa nyumbani anatambulika na analindwa na sheria reje vifungu vifuatavyo kwa ufafanuzi zaidi , section 4 ot the Employment and Labour Relations Act No.6 of 2004 na section 61 of the Labour Institutions Act.No.7 of 2004.
  Kwa maana hiyo kama housegirl akipata mimba kazini inabidi umpe likizo yake ya uzazi siku 84 kama sheria inavyosema. Sio lazima umwambie aende kwao au huko kwa aliyempa mimba kutegemea na circumstances anaweza kuendelea kuwa hapo nyumbani but discharge her from her duties and let her take care of the baby wakati naye akiendelea kurecover kiafya baada ya kujifungua.


   
 6. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Je hili linafuatwa hapa kwetu tz ingawa sheria inataka hivyo? ni asilimia ngapi ya waajiri wanaweza kuwapa maternity leave house girls wanapokuwa wamejifungua...na je anapoamua kumwachisha kazi, HG ana haki ya kudai malipo yake yote pamoja na fidia?
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndiiyo likizo yake ya uzazi hiko palepale! Kwani imetolewa kisheria ndani ya mzunguko wa likizo.
   
 8. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Atasubiri miezi 36 kupata ujauzito mwingine ili apate maternity leave? Maana likizo hii hutolewa miezi 36 baada ya likizo ya mwisho
   
Loading...