Material ya open university.


Mwl Philemon

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
27
Points
45
Mwl Philemon

Mwl Philemon

Member
Joined Nov 29, 2018
27 45
Kama kuna yeyote aliyesomea open university bachelor of education teacher educator (BED-TE) na ana material please nisaidie niendelee kupitia huku nikiandaa pesa ili niweze kujitafutia mwenyewe.
Kiswahili na Kiingereza inahusika niko level one.
 
R

rolla

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,722
Points
1,500
R

rolla

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,722 1,500
Hongera umechagua chaguo lililo bora
 
Humorous Junior

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Messages
834
Points
1,000
Humorous Junior

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2018
834 1,000
Tushaajiriwa siku nyingi tunatafuta quality maana madogo wanakuja
KAMA UNA AJIRA SAWA! WE KAMA MWANAFUNZI UTAPEWA ACCESS NA CHUO YA KU DOWNLOAD MATERIAL YOTE YALIYO ONLINE WALA USIWE NA BP.

AU IT KNOWLEDGE IKO 0? MAANA NILIKUTANA NA MZEE WA OUT HATA KUJISAJILI KOZI ONLINE ILIKUWA MBINDE.
 
Mwl Philemon

Mwl Philemon

Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
27
Points
45
Mwl Philemon

Mwl Philemon

Member
Joined Nov 29, 2018
27 45
IT sio mbaya inanitosha.
Ila nilitaka kuanza taratibu maana huko kudownload mpaka ulipe fees umalize.
KAMA UNA AJIRA SAWA! WE KAMA MWANAFUNZI UTAPEWA ACCESS NA CHUO YA KU DOWNLOAD MATERIAL YOTE YALIYO ONLINE WALA USIWE NA BP.

AU IT KNOWLEDGE IKO 0? MAANA NILIKUTANA NA MZEE WA OUT HATA KUJISAJILI KOZI ONLINE ILIKUWA MBINDE.
 

Forum statistics

Threads 1,294,039
Members 497,789
Posts 31,163,053
Top