YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Wataalamu nisaidieni nikitaka kujenga ukumbi sound proof ambamo hata upige yowe vipi Sauti isitoke nje nitumie material gani na je hizo material zinapatikana Tanzania na zinapatikana wapi ni za madirisha au milango? Au Zikoje bei zake Wanauzaje? Au wawekaji wanachaji shilingi ngapi? Dealers wanapatikana wapi?