Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,085
- 110,793
[emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa tahira kweeli[emoji28][emoji28][emoji28]Au,ndo maana mimi sina marafiki wanawake??hivo mwanamke anawezaje kuniomba nimpeleke mahali kwa bwanaake,bwanaake atanionaje mm na mtu si dadaaangu wala nini?na mimi ningeomba mchezo kabla hajafika kwa huyo bwana mwingine ili chain iongezeke ,anayepigiwa simu ,anayemsubiri na anayempeleka wotw tuwe timefaidi kwa muda mmoja[emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app