Matendo ya huyu dada yalinikata stimu za wanawake

Matendo ya huyu dada yalinikata stimu za wanawake

Capitrait

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
226
Reaction score
328
Corona is real, tusichukulie poa!

Nilitambulishwa naye na rafiki yangu wa muda mrefu sana, naye ni wa kike.

Rafiki yangu huyo akaniomba nimpeleke kwenye kiwanja fulani akakutane na baharia fulani.

Katikati ya Safari nikawa nasikia akiongea na mpenzi wake. Mahaba ya kwenye simu kama yote. Dah.....nikachoka mwili na roho. Jamaa hajui mpenzi wake nampelekea baharia mwingine mida ya jioni hio halafu mvua kama yote.

Nikafikisha mzigo kwa baharia mimi nikageuza zangu maskani. Nikiwa njiani, full mawazo, nawaza tukio lile. Mwanamke wa jamaa anaenda kuliwa mbele ya macho yangu.

Dah....jamaa atakuwa anajiaminisha kabisa kuwa ana mwanamke. Halafu dada ni mzuri kinomanoma!

Kuanzia siku hio hamu ya kuchakata papuchi imekata. Kila kiumbe ninayemuona mbele yangu hata awe mzuri kiasi gani, kumbukumbu ile mbaya inanijia kichwani, naishia kusononeka badala ya mnara kusoma.

Wenye wapenzi kazi ipo, mabaharia wanachakata papuchi bila huruma!

Kumbukeni kunawa mikono Kwa maji tiririka na satinizer!
 
Don't take women too serious mdogo wangu utakufa mapema.

Wanawake wapo kwa ajili ya kutupatia raha na furaha katika maisha haya ya Duniani. Usiwachukulie serious sana.

Hua nawashauri vijana, hakikisha huwacbukulii wanawake serious, kua na wanawake angalau 3, tafta hela angalau ya kuhonga na kununua mwanamke pale inapobidi.

Usipende mwanamke na wala usimpe mwanamke moyo wako(wanaume wengi huishia kujinyonga pale wanapowapa wanawake mioyo yao kisha wakanawake wakafanya kinyume na matarajio yao)

Pole sana.
 
mkuu, haya mambo haya cha kufanya ni usiwe serious na manzi, wewe kua naye kwenye mahusiano ila jiaminishe umejiegesha tu
 
kama nawewe ni wa kiume basi kuna shida sehem.

shemeji yako anakuombaje umpeleke kwa hawara yake mwingine!!!!!maana sisi wanaume wanatujua hatuna unafiki hata robo labda kama una tabia mtambuka za jinsia zote.

otherways anakushtua nawewe uchangamke.
 
Tatizo lako unaonekana nawe si mchakataji.
Hayo mambo madogo madogo yasingekupa shida.... Halafu unasindikizaje mtoto wa kike tena anaenda kwa bwana(mwanaume mwenzio)?
 
Kuanzia siku hio hamu ya kuchakata papuchi imekata. Kila kiumbe ninayemuona mbele yangu hata awe mzuri kiasi gani, kumbukumbu ile mbaya inanijia kichwani, naishia kusononeka badala ya mnara kusoma.
Naamini mleta uzi utakuwa na matatizo yako mengine tofauti na haya uliyoyaandika.
 
Don't take women too serious mdogo wangu utakufa mapema.

Wanawake wapo kwa ajili ya kutupatia raha na furaha katika maisha haya ya Duniani. Usiwachukulie serious sana.

Hua nawashauri vijana, hakikisha huwacbukulii wanawake serious, kua na wanawake angalau 3, tafta hela angalau ya kuhonga na kununua mwanamke pale inapobidi.

Usipende mwanamke na wala usimpe mwanamke moyo wako(wanaume wengi huishia kujinyonga pale wanapowapa wanawake mioyo yao kisha wakanawake wakafanya kinyume na matarajio yao)

Pole sana.
Big point hawa wanawake zetu bwana usipokua na backup utakufa mapema
 
Tatizo mnakimbilia wazurii... Sie wabaya wala hatuchitigi

Sent using Jamii Forums mobile app
Linapofika suala hilo mabaharia hawana huruma wanachukua hadi wanawake vichaa waokota makopo na sura mbaya.
Wewe mzima sura mbaya so kikwazo kwa mabaharia.

Mimi nawashauri vijana kama wanaoa waoe tu wanawake wazuri sana, lakini wajiandae tu kisaikolojia kwamba lolote baya linaweza ktokea.

Likitokea unaendelea na maisha, No hard feelings and life goes on.
Hakuna kujiuwa au kuuwa sababu ya mapenzi, hakuna kuwaza sana unaweza kuwa kichaa sababu ya penzi.
Ukifanya uzembe huo hapo juu unawaachia wenzio waendelee kumega kisela mwanamke wako bila kikwazo wewe ukiwa marehemu au chizi au ukiwa jela kwenye death row unasubiri kitanzi.
 
Duuuuu.....aiseeee!
 
Alikuona ni mwenzie tu ndio mana akakuambia umpeleke kwa bwana ake
 
Back
Top Bottom